
P A B L O 🦁
@KingPablotz • 6,513 subscribers
Content Creator| Founder of Alpha Index
Videos
0:50
Sensitive content
This media may contain sensitive content.
1:01
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

NCHI Hii !! Narudia tena NCHI Hii Hakuna anayeweza kushindana na Nandy Nandy linapokuja suala la kutoa hits! 🎵 Kila tone la muziki wake, limejaa UBUNIFU na zaidi amethibitisha kwa kuwa na muendelezo (CONSISTENCY) Nimetoka kusikiliza #Sugar Bomba moja la ngoma kutoka kwa mtoto mzuri Beat Kali, Sauti Tamu, Ubunifu wa Juu Kiufupi ni NGOMA ya mwaka Nakuwekea Link kwenye comment hapo!! Sikiliza!! Now
𝗣 𝗔 𝗕 𝗟 𝗢 🦁13,693 Aufrufe • vor 1 Jahr
Keine weiteren Inhalte verfügbar
