
Kipanga
@Kipanga1986 • 8,711 subscribers
Shorts
Videos

Enzi za Pilato zikikua ngumu sana kwa bwana wa Jalalani😁😁, ila hao watu anaowangelea bwana wa Jalalani Tanganyika hakuna bana na hawatokueko mpaka Duniani itafika tamani Watanganyika wape mbinu za kutafuta ugali wao hapo mtaenda sambamba, mambo mengi hata habari hawana
Kipanga41,477 views • 1 year ago

Msiba wa Kwanza wa Dini yetu takatifu ya kiislam kutawaliwa na wahuni wakageuza msiba kua ni sehemu ya kutoa duku duku lao badala ya kumsitiri maiti, inawezekana wahuni hawa walikua na hak ya kupiga zogo kwa jinsi ya marehemu alichofanyiwa, ila jee ilikua sahihi kwenye msiba?
Kipanga48,534 views • 1 year ago

Sasa huyu nae povu la nini wakati Mdude mwenyewe alisema kufa ni kama kuhama tu sehemu moja na kwenda nyengine Mnafoka kwa mtu aliebadilisha mazingira Mdude ni mtu mjinga asiejielewa anaedhani kutukana watu ndio kutafuta ukombozi Mulizeni Maria huenda ikawa yuko Nairobi
Kipanga15,022 views • 1 year ago
No more content to load