
Kipanga
@Kipanga1986 • 8,725 subscribers
Shorts
Videos

Enzi za Pilato zikikua ngumu sana kwa bwana wa Jalalani😁😁, ila hao watu anaowangelea bwana wa Jalalani Tanganyika hakuna bana na hawatokueko mpaka Duniani itafika tamani Watanganyika wape mbinu za kutafuta ugali wao hapo mtaenda sambamba, mambo mengi hata habari hawana
Kipanga41,497 görüntüleme • 1 yıl önce

Msiba wa Kwanza wa Dini yetu takatifu ya kiislam kutawaliwa na wahuni wakageuza msiba kua ni sehemu ya kutoa duku duku lao badala ya kumsitiri maiti, inawezekana wahuni hawa walikua na hak ya kupiga zogo kwa jinsi ya marehemu alichofanyiwa, ila jee ilikua sahihi kwenye msiba?
Kipanga48,536 görüntüleme • 2 yıl önce
Daha fazla içerik yok.