
kuringe sawere Timbiri
@kuringechadema • 8,614 subscribers
A political activist in Tanzania who focused on civil rights and good governance in Tanzania🇹🇿 #NOREFORMSNOELECTION
Shorts
Videos

Miaka 63 toka Tanganyika tupate Uhuru haya ndio matunda yake hapa ni singida😭
kuringe sawere Timbiri90,983 views • 1 year ago

mponjoli rotson mwabulambo, alistahili kuwa IGP wa hili taifa!
kuringe sawere Timbiri76,946 views • 1 year ago
0:43
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

watanzania wenye upendo walilipa fain ya 5M ili kijana shadrack apate Uhuru wake lakini baada ya kupata Uhuru maccm ayakukubali yakaona yamteke na kuzima ndoto ya huyu mtanzania mwenzetu Samia Suluhu vs Police Force TZ where is shadrack chaula 💔 Retweet ifike mbali ✊🏻
kuringe sawere Timbiri32,335 views • 1 year ago

Kama ujawahi kumwelewa huyu mpambanaji na mzalendo wa kweli na mwenye uchungu na Taifa hili basi msikilize kwamakini hapa ,👇 Kisha. RETWEET 🙏 Hakikisha umeweka simu yako bando la kutosha siku ya kesho sumu ya nyigu anazungumza na Taifa! Waandishi wote wa habar mnakaribishwa!
kuringe sawere Timbiri34,774 views • 1 year ago

Asante Sana makamu mwenyekit bara mh John Heche✊ #NoReformsNoElection
kuringe sawere Timbiri13,374 views • 1 year ago
No more content to load