
๐๐ฎ๐ญ๐ก๐๐ซ ๐๐ค๐ฒ๐จ๐จ
@lutherakyoo โข 4,532 subscribers
โ โ โ โ โ Travel Memories ๐ซ๐งญ
Shorts
Videos

Naona watoto wa kambo wameanza kufikiwa sasaโฆ A sane man anatoa mfano namna atakavyo mhudumia mtoto wa Kambo na mtoto wake ni tofauti kabisa, tungali hai tukisikia haya! Haya ndio yaliomo katika fikra, mawazo na utashi wake, maamuzi katili kabisa ndani ya jamii, tumeshuhudia watoto wa kambo kadhaa wakifikwa na madhila sababu ya imani hizi za kipuuzi. Mara kadhaa nimekuwa nikiandika humu, matatizo mengi ya Nchi hii yanaanzia katika ngazi ya familia, haya Dr. Dorothy Gwajima pambana na kauli kama hizi kuondoa imani potofu za kuwabagua watoto wa kambo, Ukambo wao hauwaondolei haki za watoto au utanzania wao, tuwalinde watoto wa โwivu mkubwaโ. Credits; startv & Edwin Odemba
๐๐ฎ๐ญ๐ก๐๐ซ ๐๐ค๐ฒ๐จ๐จ66,136 views โข 1 year ago

Vijana wa Kitanzania kuweni makini, Trust no body, hata kivuli chako kaa nacho mbali, if you know what I meanโฆ! Aliyokuwa anaongea Dayon usiku wa jana, alinirudisha kwenye andiko la Che Guevara baada ya kuondoka Zaรฏre (CONGO) 1965, alisema sababu mojawapo ya wao kushindwa mbele ya Jeshi dhaifu la Mobutu, ni Wanajeshi wake wengi kupenda Pombe na Ngono. A Lustful man, is a weak man. Ps; Mimi sio mshabiki wa Dayon, ila aliyokuwa anaongea yanafikirisha zaidi. Sijui kwanini vijana wa kitanzania wapo so vulnerable kama Kuku wa kienyeji? Hamwezi kujifunza kujipa mda kumjua mtu kwa umakini bila kukurupuka?
๐๐ฎ๐ญ๐ก๐๐ซ ๐๐ค๐ฒ๐จ๐จ16,282 views โข 3 months ago

Hii hauwezi kuiona kwenye mainstream media!
๐๐ฎ๐ญ๐ก๐๐ซ ๐๐ค๐ฒ๐จ๐จ51,078 views โข 1 year ago

Watanzania ni wakatili sana, either wana mamlaka au hawana, huu ni uthibitisho wa namna tunavyotofautiana ukatili kwa level mbalimbali! Imagine mtu anaona hii ni sahihi kabisa ilhali anajua anachofanya ni hatari kwa afya za Watanzania wenzake. ๐ก๐คฌ๐คฌ
๐๐ฎ๐ญ๐ก๐๐ซ ๐๐ค๐ฒ๐จ๐จ11,003 views โข 3 months ago

Laana ya Africa nzima hii! Lini itatuacha?
๐๐ฎ๐ญ๐ก๐๐ซ ๐๐ค๐ฒ๐จ๐จ13,686 views โข 1 year ago
No more content to load