
𝐋𝐮𝐭𝐡𝐞𝐫 𝐀𝐤𝐲𝐨𝐨
@lutherakyoo • 4,532 subscribers
☆ ☆ ☆ ☆ ☆ Travel Memories 🧭
Shorts
Videos

Naona watoto wa kambo wameanza kufikiwa sasa… A sane man anatoa mfano namna atakavyo mhudumia mtoto wa Kambo na mtoto wake ni tofauti kabisa, tungali hai tukisikia haya! Haya ndio yaliomo katika fikra, mawazo na utashi wake, maamuzi katili kabisa ndani ya jamii, tumeshuhudia watoto wa kambo kadhaa wakifikwa na madhila sababu ya imani hizi za kipuuzi. Mara kadhaa nimekuwa nikiandika humu, matatizo mengi ya Nchi hii yanaanzia katika ngazi ya familia, haya Dr. Dorothy Gwajima pambana na kauli kama hizi kuondoa imani potofu za kuwabagua watoto wa kambo, Ukambo wao hauwaondolei haki za watoto au utanzania wao, tuwalinde watoto wa “wivu mkubwa”. Credits; startv & Edwin Odemba
𝐋𝐮𝐭𝐡𝐞𝐫 𝐀𝐤𝐲𝐨𝐨66,136 次观看 • 1 年前

Vijana wa Kitanzania kuweni makini, Trust no body, hata kivuli chako kaa nacho mbali, if you know what I mean…! Aliyokuwa anaongea Dayon usiku wa jana, alinirudisha kwenye andiko la Che Guevara baada ya kuondoka Zaïre (CONGO) 1965, alisema sababu mojawapo ya wao kushindwa mbele ya Jeshi dhaifu la Mobutu, ni Wanajeshi wake wengi kupenda Pombe na Ngono. A Lustful man, is a weak man. Ps; Mimi sio mshabiki wa Dayon, ila aliyokuwa anaongea yanafikirisha zaidi. Sijui kwanini vijana wa kitanzania wapo so vulnerable kama Kuku wa kienyeji? Hamwezi kujifunza kujipa mda kumjua mtu kwa umakini bila kukurupuka?
𝐋𝐮𝐭𝐡𝐞𝐫 𝐀𝐤𝐲𝐨𝐨16,282 次观看 • 3 个月前
没有更多内容可加载