
Mansang🖤
@mansangchirchir • 19,808 subscribers
Remember why you started.
Shorts
Videos

Australia hii ndo kazi wakenya wanapiga mamae, na inalipa vizuri sana, 80-90 dollars per hour, alafu wanawork karibu 8 hours a day, mtu anaunda karibu 500-600 dollars per day alafu hii kazi sio ya watu hawaezi fanya kazi ngumu buana, coolkid kazi wanaeza fanya ni caregiving, kuoshea kinywero shosho na kuwavalisha pampers, ni pesa mzuri pia about 40-50 dollars per hour. Tell your parents awakatie share mamae, alafu piga sell yote, kuja Eldoret ufanye English then utafute agent legit mwenye atakuosha mamae. Alafu approximate amount unafaa kuwa nayo for the whole process to be completed ni 1.2M to 2M
Mansang🖤86,793 次观看 • 1 个月前
1:14
Sensitive content
This media may contain sensitive content.
没有更多内容可加载