
Masoud Kipanya
@masoudkipanya • 2,112,934 subscribers
Pan Africanist - Political Cartoonist - Painter - Animator - President/Founder Kaypee Motors - Radio/TV Presenter/Producer - Industrialist
Videos

Prototype ya 3 na ya mwisho. KP A72 ev Kaypee Motors Limited
Masoud Kipanya102,546 views • 1 year ago

Vipande 26 vya keki. Hii ni Msumbiji, na hawa unaowaona sio kwamba wanaokoa mali kwenye jengo linaloteketea kwa moto, HAPANA! Haya ni matokeo ya wachache waliokabidhiwa taasisi na mali za umma kujichukulia vipande vyote vya keki. Wanajitajirisha huku kundi kubwa la wananchi likitopea kwenye umasikini, unapotokea mwanya kidogo tu, wananchi wanaingia hata kwenye majengo ya wasiohusika na kuchukua vitu. Mgawanyo wa keki ya taifa utausoma kwenye kitabu cha vipande 26 vya keki. Piga 0769 112 116 utaletewa kitabu popote ulipo ndani ya Tanzania.
Masoud Kipanya107,516 views • 1 year ago

Weka oda yako 0757829130 Tzs 25,000 KP wear ReDefined NothingButKonfidence
Masoud Kipanya20,104 views • 5 months ago

Jooooojiiii... Episode 4 ya kalamu ndani ya Kipanya Tell a Vision. Kipanya Tell a Vision
Masoud Kipanya16,692 views • 6 months ago

Tunakanyaga maji tukiwa tunaenda kutafuta maji.. Kalamu episode 7..
Masoud Kipanya14,463 views • 5 months ago
No more content to load