
Masoud Kipanya
@masoudkipanya • 2,112,934 subscribers
Pan Africanist - Political Cartoonist - Painter - Animator - President/Founder Kaypee Motors - Radio/TV Presenter/Producer - Industrialist
Videos

Prototype ya 3 na ya mwisho. KP A72 ev Kaypee Motors Limited
Masoud Kipanya102,546 просмотров • 1 год назад

Vipande 26 vya keki. Hii ni Msumbiji, na hawa unaowaona sio kwamba wanaokoa mali kwenye jengo linaloteketea kwa moto, HAPANA! Haya ni matokeo ya wachache waliokabidhiwa taasisi na mali za umma kujichukulia vipande vyote vya keki. Wanajitajirisha huku kundi kubwa la wananchi likitopea kwenye umasikini, unapotokea mwanya kidogo tu, wananchi wanaingia hata kwenye majengo ya wasiohusika na kuchukua vitu. Mgawanyo wa keki ya taifa utausoma kwenye kitabu cha vipande 26 vya keki. Piga 0769 112 116 utaletewa kitabu popote ulipo ndani ya Tanzania.
Masoud Kipanya107,516 просмотров • 1 год назад

Kufikiri nje ya BOX ukiwa ndani ya BOX.. Kalamu episode 6, kwenye chaneli ya Kipanya Tell a Vision, YouTube.
Masoud Kipanya42,302 просмотров • 6 месяцев назад

Mchakato wa kupata katuni... Wazo linatoka wapi? Halafu...? Enhee.. Ikifika saa moja usiku leo na kila ijumaa, usikose kutazama episode 4 ya kalamu ndani ya chaneli ya Kipanya Tell a Vision kule yuchubu.. Pliz usisahau kukumbuka kulaiki na kusabskraib.
Masoud Kipanya23,762 просмотров • 6 месяцев назад

Weka oda yako 0757829130 Tzs 25,000 KP wear ReDefined NothingButKonfidence
Masoud Kipanya20,104 просмотров • 5 месяцев назад

Jooooojiiii... Episode 4 ya kalamu ndani ya Kipanya Tell a Vision. Kipanya Tell a Vision
Masoud Kipanya16,692 просмотров • 6 месяцев назад

Test drive. Tanzania Automotive festival 2024. #Mdogomdogo #bitbybit #Brickbybrick Kaypee Motors Limited
Masoud Kipanya35,140 просмотров • 1 год назад

Tunakanyaga maji tukiwa tunaenda kutafuta maji.. Kalamu episode 7..
Masoud Kipanya14,463 просмотров • 5 месяцев назад
Больше нет контента для загрузки