
Masoud Kipanya
@masoudkipanya • 2,112,934 subscribers
Pan Africanist - Political Cartoonist - Painter - Animator - President/Founder Kaypee Motors - Radio/TV Presenter/Producer - Industrialist
Videos

Vipande 26 vya keki. Hii ni Msumbiji, na hawa unaowaona sio kwamba wanaokoa mali kwenye jengo linaloteketea kwa moto, HAPANA! Haya ni matokeo ya wachache waliokabidhiwa taasisi na mali za umma kujichukulia vipande vyote vya keki. Wanajitajirisha huku kundi kubwa la wananchi likitopea kwenye umasikini, unapotokea mwanya kidogo tu, wananchi wanaingia hata kwenye majengo ya wasiohusika na kuchukua vitu. Mgawanyo wa keki ya taifa utausoma kwenye kitabu cha vipande 26 vya keki. Piga 0769 112 116 utaletewa kitabu popote ulipo ndani ya Tanzania.
Masoud Kipanya107,516 次观看 • 1 年前
没有更多内容可加载