MeaMswahili's banner
MeaMswahili's profile picture

MeaMswahili

@meamswahili22,344 subscribers

GOD First 🙏... East Africa Kid, From Tanzania 🇹🇿 Entertainment || Sports || Trending news & Life style. #WeAreStillInTheRace.

Shorts

🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄 Hii ni Moja ya video inayosambaa sana mitandaoni inayoonyesha tukio lisilo la kawaida kati ya Kylian Mbappé na N’Golo Kanté. Katika video hiyo, Mbappé anaonekana akisalimiana na wachezaji wote wa benchi la akiba, huku Kanté akipigana mikono na wachezaji wa kikosi cha kwanza. Hata hivyo, wawili hao walipita tu karibu bila hata kusalimiana au kutoa ishara yoyote ya kindugu. Kwa namna hii kukosa muunganiko ndani ya kikosi cha Ufaransa unawaona wakifika mbali katika Kombe la Dunia? #MeaMswahiliUPDATES

24,882 views

🚨𝐓𝐑𝐄𝐍𝐃𝐈𝐍𝐆...! Inaelezwa Kuwa Huyu Ndiye Mtoto Mzuri (Mtanashati) Zaidi Kwa Kizazi Chake. Mvuto Wake Hauna Uhusiano Wowote na Rangi Haijalishi Mzungu, Mwarabu, Au Mwafrika. NB: Watoto Wetu Wote ni Wazuri, ila Mvulana Huyu Anatajwa Kuwa ni Mzuri Zaidi. #VisitMOSHI🇹🇿

69,769 views

Jeshi la Hamasa Limetua Morocco 🇲🇦 Kuhakikisha Wanafanya Faraja ya Kuleta Kombe Tanzania 🇹🇿 #VisitMOSHI🇹🇿

12,951 views

🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄 Muigizaji Wema Sepetu Ame-Share Video Fupi ya Dawa Anazo Tumia na Kudai Anazitumia Lakini Bado Haoni Mabadiliko..!! Dua na Sala Zenu Muhimu Kwa Muigizaji Huyuu…!! #MeaMswahiliUPDATES

21,959 views

🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄 Baada ya DABI ya Zanzibar..! “Mchezaji David Kameta wa klabu ya Simba SC ametozwa faini ya TSh. 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la kuonekana akimwaga kimiminika kiwanjani wakati timu hiyo ilipozuru uwanja dakika chache baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Amaan, kitendo kilichotafsiriwa kama Imani za kishirikina.” “Adhabu hii ni kwa mujibu wa Kanuni ya 41:5(5.5) ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti kwa Wachezaji.” Baada ya DABI ya Mej. Gen ISAMUHYO 👇👇 “Shabiki wa klabu ya Young Africans aliyetambulika kwa jina la Mohamed Ally Mposo ambaye amekuwa akiambatana na maofisa wa ufundi wa klabu hiyo amefungiwa kuingia uwanjani kwa kipindi cha miezi 12 kwa kosa la kuingia kwenye eneo la kuchezea wakati wa mapumziko na kumwaga vimiminika kitendo kilichotafsiriwa kama imani za kishirikina.” Adhabu hii ni kwa mujibu wa kanuni ya 47:2 ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti kwa Klabu.” 🎥|| @lekingtv_tz #MeaMswahiliUPDATES

11,537 views

Videos