
MeaMswahili
@meamswahili • 22,080 subscribers
GOD First 🙏... East Africa Kid, From Tanzania 🇹🇿 Entertainment || Sports || Trending news & Life style. #WeAreStillInTheRace.
Shorts
Videos

🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄 Producer Master J ambaye pia ni Jaji wa BSS amechukizwa kwa maamuzi ya Majaji wenzake kumtupa nafasi ya nne Freya mshiriki kutoka Congo. Baadhi ya taarifa zilisambaa kuwą Masterj Jana hakuwepo kwenye fainali ya BSS kwasababu zilizotajwa kuwa na mgogoro na Wenzake lakini ukimsikiliza Vizuri MasterJ utagundua alikuwa nje ya nchi. #MeaMswahiliUPDATES
MeaMswahili31,689 просмотров • 19 дней назад

🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄 Katibu wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Benjamin Ntele, amesema kuwa mtu aliyejitambulisha hadharani kwa jina la Shaban Ally Mchezo na kudai kuwa ni Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Kibaha Vijijini si kiongozi halali wa chama. Ntele amesema katika kuthibitisha hilo, amemleta mbele ya waandishi wa habari Shaban Ally Mchezo halali, ambaye amewasilisha uthibitisho wa utambulisho wake kupitia Kitambulisho cha Taifa (NIDA) na Kitambulisho cha Mpiga akura. Akizungumza katika mkutano huo, Shaban Ally Mchezo amesema amekuwa akirubuniwa mara kadhaa ili akihujumu CHADEMA, lakini alikataa kufanya hivyo. Amesema baada ya kushindwa kumshawishi, ndipo alijitokeza mtu mwingine akitumia jina lake na kujitambulisha kuwa ndiye Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Kibaha Vijijini. 🎥: Zungu #MeaMswahiliUPDATES
MeaMswahili14,070 просмотров • 14 дней назад

🚨𝐓𝐑𝐄𝐍𝐃𝐈𝐍𝐆 Maneno ya Mkurugenzi wa CloudsFM Kusaga Kuhusiana na Ubaya wa Vita..!! #MeaMswahiliUPDATES
MeaMswahili49,219 просмотров • 4 месяцев назад

🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄 “Huwezi Ukaiangusha Iran 🇮🇷 Mimi Nakuhakikishia Leo” - Prophet IPM. #MeaMswahiliUPDATES
MeaMswahili35,053 просмотров • 4 месяцев назад
1:33
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄 “Kepteni Mpaka Sasa Hatumuoni, Mmemvunja Moyo.” - Mudathir Yahya Kuhusu Mwamnyeto. #MeaMswahiliUPDATES
MeaMswahili11,502 просмотров • 2 месяцев назад

🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄 Nchi ya iran 🇮🇷 inazidi kushangaza kwa namna walijipanga wakati Marekani 🇺🇸 na Israel 🇮🇱 anapiga maeneo yake ya Kijeshi wakiamini ndipo Makombora na silaha zilipo. Kumbe Iran 🇮🇷 wana makombora chini ya ardhi yanatoka bila launch pad kama uinavyo videoni👇
MeaMswahili18,313 просмотров • 4 месяцев назад

🚨𝐓𝐑𝐄𝐍𝐃𝐈𝐍𝐆 Kwanini Shifta Akatae Kwa Ukumbwa Hivi, Au Alihudhuria Vikao Vyote…!😃 #MeaMswahiliUPDATES
MeaMswahili16,237 просмотров • 4 месяцев назад

🚨𝐓𝐑𝐄𝐍𝐃𝐈𝐍𝐆 Msuko Huu wa Twende Kilioni wa Waziri Gwajima Unaupa Asilimia Ngapi..?! #MeaMswahiliTRENDING
MeaMswahili14,771 просмотров • 4 месяцев назад