
MeaMswahili
@meamswahili • 22,155 subscribers
GOD First 🙏... East Africa Kid, From Tanzania 🇹🇿 Entertainment || Sports || Trending news & Life style. #WeAreStillInTheRace.
Shorts
Videos

🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄 Producer Master J ambaye pia ni Jaji wa BSS amechukizwa kwa maamuzi ya Majaji wenzake kumtupa nafasi ya nne Freya mshiriki kutoka Congo. Baadhi ya taarifa zilisambaa kuwą Masterj Jana hakuwepo kwenye fainali ya BSS kwasababu zilizotajwa kuwa na mgogoro na Wenzake lakini ukimsikiliza Vizuri MasterJ utagundua alikuwa nje ya nchi. #MeaMswahiliUPDATES
MeaMswahili32,150 次观看 • 19 天前

🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄 Katibu wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Benjamin Ntele, amesema kuwa mtu aliyejitambulisha hadharani kwa jina la Shaban Ally Mchezo na kudai kuwa ni Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Kibaha Vijijini si kiongozi halali wa chama. Ntele amesema katika kuthibitisha hilo, amemleta mbele ya waandishi wa habari Shaban Ally Mchezo halali, ambaye amewasilisha uthibitisho wa utambulisho wake kupitia Kitambulisho cha Taifa (NIDA) na Kitambulisho cha Mpiga akura. Akizungumza katika mkutano huo, Shaban Ally Mchezo amesema amekuwa akirubuniwa mara kadhaa ili akihujumu CHADEMA, lakini alikataa kufanya hivyo. Amesema baada ya kushindwa kumshawishi, ndipo alijitokeza mtu mwingine akitumia jina lake na kujitambulisha kuwa ndiye Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Kibaha Vijijini. 🎥: Zungu #MeaMswahiliUPDATES
MeaMswahili14,070 次观看 • 14 天前
1:33
Sensitive content
This media may contain sensitive content.