Tukisema haya mazee ni maquma muwe mnaelewa, Yani hapo anadai kuwa wanafunzi hawezi kupanga uhaini, nimekuwekea picha ya mwanafunzi wa chuo hapo pembeni anaitwa Alaa Salah(22) wakati huo, Huko Sudan yani leo hii unaona Sudan imekufa ni kwaajili ya hiko kidada hapo 🧵👇🏾