
Mkongwe
@mkongwe325 • 2,448 subscribers
Patriot Tz✊. Mtazamo wa kizalendo kwanza. ✍️ Kujifunza kutoka jana, kwa kesho bora. #TanzaniaNiYetuSote
Videos

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na onyo lake huko Razaba kwamba ardhi iliyoko bagamoyo ni yao na hakuna mtanganyika anaruhusiwa kuigusa! Na akiiguza itamchukulia hatua ! Wanasheria hapa tujuzane je Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inao uwezo wa Kumwajibisha Mtanganyika!?
Mkongwe26,052 views • 1 month ago