
Mkuujr5
@mkuuJr5 • 11,719 subscribers
👨⚖️Lawyer | 🧑🤝🧑 Father of 2 | 🌾 Farmer | 📚 Reading Enthusiast | 🎵 Music Lover | 💡 Brainstorming Aficionado | 🚫 No Sugar Coating | 🗣️ Views Are Mine
Shorts
Videos

Dereva wa Lori Mtanzania akutwa amekufa kwenye cabin ya gari yake huko Mukambo. Alikuwa anaendesha gari yeye namba za usajili T 692 EDC mali ya kampuni ya Inara Investments( Tanzania) Ltd. Mwili wake umehifadhiwa polisi Mukambo border kwa ajili ya kuwatafuta ndugu na jamaa zake . Video inatisha kidogo.😭
Mkuujr5217,259 görüntüleme • 2 yıl önce

Mwamba kamuona chui juu ya mti yeye kaendelea kuukata . Anaamini mbwa zake kuliko chochote.😳😳🔥🔥🔥
Mkuujr5198,294 görüntüleme • 2 yıl önce

Kwa hiyo tunakubaliana kuwa tunaobeti na tunaomiliki bima za Afya letu moja .? 😂
Mkuujr533,378 görüntüleme • 4 ay önce

Hii ni Kongo , kumechafuka , ni hatari kupeleka gari yako kwa sasa . Hii video ni mpya , hiyo ni gari ya Tz imebeba Shaba (Copper). Raia wanaishambulia kwa mawe na kuiba mali zilizomo, haijulikani dereva na utingo wako kwenye hali gani. Ndo tulipofikia Wacongo hawataki copper yao iondoke. Kila anayebeba copper (Shaba) Kwai wao ni adui. Kuna haja serikali kulifatilia hili na kulitolea tamko. Kongo hali si shwari.!!
Mkuujr5120,815 görüntüleme • 2 yıl önce

Kijana aliyetengeneza hii clip anatakiwa kutangulia SENTRO.😂😂🙌🏿🙌🏿
Mkuujr597,930 görüntüleme • 2 yıl önce

Weka mambo mengine pembeni. Ila hii spirit ya huyu mwamba haikutakiwa kufa. Alikuwa chuma .!!🙏🙏
Mkuujr585,997 görüntüleme • 2 yıl önce

Vita ya Chief Godlove na vijana wenye degree itaisha lini.? Mbona kama anakanyaga sana .?😳😳
Mkuujr568,471 görüntüleme • 2 yıl önce
Daha fazla içerik yok.