
Boniface Mwabukusi
@Mwabuk2Boniface • 67,671 subscribers
Advocate | father | husband. HUMAN RIGHTS. Tanzania🇹🇿 President Tanganyika Law Society 2024-27
Shorts
Videos

MAANDAMANO YA BEI YA JIOOONI. Hawa hawakuandamana pale Father Dr Kitima alipotaka kuuwawa Padre alipotekwa na kukutwa katupwa porini wala Mwanafunzi wa Utawa kutekwa na kuumizwa. Hawakuandamana wakatoliki wenzao walipouliwa na miili yao kupotea. Halafu Ukiona nchi hii kuna Maandamano ambayo wazee wa intelijensia hawaja yazuia ...Jiongeze.. kuhusu haiba ya waandamanaji wala musiniulize🤣 Mwishoni wakahitimisba na sebene ya Mwamba Mwamba...
Boniface Mwabukusi177,419 Aufrufe • vor 5 Monaten

Any Attack to Lawyers within the Court Premise is a direct attack to Justice. I have witnessed with deep concern and sadness the acts of brutality perpetrated by members of the Police Force against citizens and Advocate Mahinyila within the precincts of the High Court of Tanzania, Dar es Salaam Registry. Such criminal conduct is indefensible and cannot be justified under any circumstance. I have directed our designated officer to immediately follow up and obtain a detailed account of the incident. Upon receipt of this report, the Governing Council of the Tanganyika Law Society will convene urgently to deliberate on the matter and provide a clear direction. Justice, accountability, and the protection of lawyers and citizens are non-negotiable principles for which TLS stands firm. BAK Mwabukusi President, Tanganyika Law Society (TLS)
Boniface Mwabukusi60,587 Aufrufe • vor 9 Monaten
1:21
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Kwasasa hatutakiwi tena kujifanua hatumjui anayetuteka ...Mtekaji amepata ujasiri yuko tayari kufanya chochote hadharani kuzuia tusipige kelele za Utekaji. sisi tunaotekwa nankupotelewa na ndugu tuendelee kumuonea Aibu? la hasha .......KANISA LINASHAMBULIWA KWA KUSIMAMA KATIKA KWELI.tukatae dhuluma hii. Uamuzi wowote usiofuata sheria na Kanuni ni Uamuzi wa hovyo na haupaswi kuheshimiwa bali kukemewa na kila mwenye akili timamu.
Boniface Mwabukusi77,100 Aufrufe • vor 1 Jahr
3:38
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Uchaguzi ni suala la Kikatiba ,Kisheria na Kikanuni haliendeshwi kwa Matamko ya Mkurugenzi wa Tume.Kwa Mujibu wa Katiba yetu ni Rais pekee anyeweza kutoa Tamko(Proclamation) kwa mazingira fulani fulani kama inavho oneshwa kwenye katiba.Tume iache kujipa madaraka ambayo haijapewa na Sheria wala Katiba
Boniface Mwabukusi52,824 Aufrufe • vor 1 Jahr

DAR: Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi amekosoa utaratibu uliotokea Mahakama ya Kisutu kuhusu uamuzi wa shauri linalomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu kusikilizwa kwa njia ya Mtandao badala ya kufikishwa Mahakamani, akidai uamuzi huo ulikuwa wa Hakimu na siyo Mahakama Soma
Boniface Mwabukusi42,331 Aufrufe • vor 1 Jahr

SIFA YA KIONGOZI NI KUONESHA NJIA. Shida Ipo....Tatizo ni utayari wa Kukiri na kuchukua hatua. Tulikuwa na Nyufa sasa Taifa limepasuka kabisa.Tusiendelee kujidanganya kuwa mambo yatakuwa sawa.kwamba mambo yako sawa hapana.Tumevuruga na kuvurugika. Kama kuna Ukimya wa muda mfupi unao tufanya juona kama kuna ushindi basi ni Ukimya wa Mauti. Mchelea mwana kulia mwisho hulia yeye. Tulipo sipo na wanakotupeleka siko kabisa. UKWELI,HAKI NA UWAJIBIKAJI vitaliponya Taifa.
Boniface Mwabukusi10,755 Aufrufe • vor 2 Monaten
1:40
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

.HATUKO SALAMA ? Nimepokea habari Usiku huu kwamba Jeshi la polisi Mbeya limefika nyumbani kwa Mdude Mpaluka Nyagali . Baada ya kufika wamevunja mlango na kuingia ndani na kumpiga wa kitumia vitu mbalimbali na kumjeruhi na baadaye kuondoka naye. Huu ni muendelezo wa kukithiri kwa vitendo vya wanao onekana wakosoaji wa Serikali kutendewa kinyume cha Sheria na Kuumizwa. Tunalitaka Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kuhakikisha kuwa Ndugu Mdude Mpaluka Nyagali anakuwa salama na kuhakikisha wanampatia matibabu stahiki. Tunakemea na kufuatilia jambo hili kwa ukaribu kuona haki ikitendeka. Boniface A.K Mwabukusi WAKILI.
Boniface Mwabukusi34,234 Aufrufe • vor 1 Jahr

Kuwepo kwetu katika kipande hiki cha ardhi rehema za Mungu . Namna ya kukitumia kipande hiki kwa maslahi yetu na vizazi vijavyo ni jukumu letu la kikuhani. Utu uwe msingi na Dira ya Taifa.Kutekana na kupotezana ni aibu ya Taifa.Taifa timamu hulibda uhai wa watu wake.
Boniface Mwabukusi41,670 Aufrufe • vor 1 Jahr
0:49
Sensitive content
This media may contain sensitive content.