
Mwigulu Nchemba, PhD
@mwigulunchemba1 • 549,496 subscribers
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi.
Videos

TUTAILINDA NCHI YETU KWA WIVU MKUBWA, TUSICHEZEANE.
Mwigulu Nchemba, PhD75,683 просмотров • 1 год назад

Jana kabla ya kwenda kuhitimisha Kikao cha Tathmini ya Utendaji wa Kazi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) nilitembelea Ilboru Sec nilikosoma masomo yangu O’ Level, nilifurahi kukutana na Mwalimu aliyenifundisha Mwl. Blanca Shao. Nimezungumza na kuwasihi Wanafunzi wasome kwa bidii ili waje kuziishi ndoto zao hapo baadaye.
Mwigulu Nchemba, PhD87,747 просмотров • 1 год назад

Tumewasikia, tumepokea na tunafanyia kazi, Asanteni sana.
Mwigulu Nchemba, PhD118,543 просмотров • 3 лет назад

Tutatoza kodi stahiki kwa Matajiri ili tuwaendeleze Wananchi waliochini Kimaendeleo.
Mwigulu Nchemba, PhD45,914 просмотров • 2 лет назад

Leo tumezindua Jukwaa la Kwanza la Wadau wa Sekta ya Fedha kwa mwaka 2024, jukwaa hili litajadili fursa na hatua mbalimbali za kuboresha Sekta ya Fedha ikiwa ni pamoja na huduma ujumuishaji na endelevu za kifedha kwa njia ya kidijitali pamoja na kushirikishana namna bora ya kukuza matumizi ya teknolojia na uvumbuzi ili kukuza na kuimarisha Sekta ya Fedha nchini. Ushirikiano kati ya Sekta ya Umma na Binafsi ni msingi wa maendeleo yetu. Pamoja tunaweza.
Mwigulu Nchemba, PhD31,348 просмотров • 1 год назад

Kigongo–Busisi: fahari ya Kanda ya Ziwa, Mama aliahidi na ametenda.
Mwigulu Nchemba, PhD17,148 просмотров • 1 год назад

Imekuwa ni siku njema kushiriki Ibada Takatifu na Washarika wa KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani ikiwa ni siku yangu ya kumbukumbu ya kuzaliwa. Namshuru sana Baba Mchungaji Wilbroad Mastai, Waumini wote na Watanzania, kwa salamu zenu za kunitakia Heri, Mwenyezi Mungu awabariki sana, Nawepanda sana.
Mwigulu Nchemba, PhD22,467 просмотров • 2 лет назад

Jana nimezindua Taasisi ya Usuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za kodi. Wafanyabiashara hawatakatiwa bidhaa au kufungiwa biashara zao kipindi ambacho changamoto zao kikodi zinapatiwa ufumbuzi. Ni matarajio ya Mheshimiwa Rais kuwa Taasisi hii inaenda kutatua malalamiko ya kikodi ili kuwasaidia wafanyabiashara kutopata hasara na serikali ipate mapato halali.
Mwigulu Nchemba, PhD18,839 просмотров • 2 лет назад

Leo nilipata wasaa wa kumuaga Rais wa Jamhuri ya Burundi, Mhe. Evariste Ndayishimiye, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro, baada ya kushiriki Mkutano wa 23 wa Viongozi Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, uliofanyika katika Hoteli ya Ngurdoto, Mkoani Arusha, ambapo katika Mkutano huo, Mhe. Ndayishimiye alimkabidhi Uenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Rais wa Sudan Kusini, Mhe. Salva Kiir, baada ya kumaliza muda wake.
Mwigulu Nchemba, PhD18,584 просмотров • 2 лет назад
Больше нет контента для загрузки