
Mwigulu Nchemba, PhD
@mwigulunchemba1 • 549,001 subscribers
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi.
Videos

TUTAILINDA NCHI YETU KWA WIVU MKUBWA, TUSICHEZEANE.
Mwigulu Nchemba, PhD75,700 görüntüleme • 1 yıl önce

Ufafanuzi wa hoja ya faini ya kutokutoa risiti za EFD.
Mwigulu Nchemba, PhD110,898 görüntüleme • 2 yıl önce

Ukitambua Uhusiano wa Kodi na Maendeleo hautotamani kukwepa kuilipa.
Mwigulu Nchemba, PhD135,566 görüntüleme • 3 yıl önce

Jana kabla ya kwenda kuhitimisha Kikao cha Tathmini ya Utendaji wa Kazi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) nilitembelea Ilboru Sec nilikosoma masomo yangu O’ Level, nilifurahi kukutana na Mwalimu aliyenifundisha Mwl. Blanca Shao. Nimezungumza na kuwasihi Wanafunzi wasome kwa bidii ili waje kuziishi ndoto zao hapo baadaye.
Mwigulu Nchemba, PhD87,768 görüntüleme • 2 yıl önce

Tumewasikia, tumepokea na tunafanyia kazi, Asanteni sana.
Mwigulu Nchemba, PhD118,545 görüntüleme • 3 yıl önce

Tutatoza kodi stahiki kwa Matajiri ili tuwaendeleze Wananchi waliochini Kimaendeleo.
Mwigulu Nchemba, PhD45,914 görüntüleme • 2 yıl önce

Leo tumezindua Jukwaa la Kwanza la Wadau wa Sekta ya Fedha kwa mwaka 2024, jukwaa hili litajadili fursa na hatua mbalimbali za kuboresha Sekta ya Fedha ikiwa ni pamoja na huduma ujumuishaji na endelevu za kifedha kwa njia ya kidijitali pamoja na kushirikishana namna bora ya kukuza matumizi ya teknolojia na uvumbuzi ili kukuza na kuimarisha Sekta ya Fedha nchini. Ushirikiano kati ya Sekta ya Umma na Binafsi ni msingi wa maendeleo yetu. Pamoja tunaweza.
Mwigulu Nchemba, PhD31,348 görüntüleme • 1 yıl önce

Mapema wiki hii nilifanya mazungumzo na Anglo Gold Ashanti wamiliki wa mgodi wa GGM wakiongozwa na Afisa Mkuu wa Masuala ya Fedha wa kampuni hiyo, Bi. Lillian Doran. Nimewaeleza nia njema ya Serikali ya awamu ya sita chini ya Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ya kuanza kuweka akiba ya dhahabu kupitia Benki kuu yetu. Na kwa mwaka huu wa fedha 2023/24 tumedhamiria kununua Tani 6 za dhahabu. Lengo ni kuanza kuhifadhi dhahabu kama fedha za kigeni ili kuifanya nchi yetu kuwa na chanzo cha uhakika cha fedha za kigeni kitakachotumika kama dhamana wakati inapohitaji fedha hizo kwa ajili ya matumizi mbalimbali badala ya kutegemea mikopo.
Mwigulu Nchemba, PhD38,416 görüntüleme • 2 yıl önce

Kigongo–Busisi: fahari ya Kanda ya Ziwa, Mama aliahidi na ametenda.
Mwigulu Nchemba, PhD17,151 görüntüleme • 1 yıl önce

Imekuwa ni siku njema kushiriki Ibada Takatifu na Washarika wa KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani ikiwa ni siku yangu ya kumbukumbu ya kuzaliwa. Namshuru sana Baba Mchungaji Wilbroad Mastai, Waumini wote na Watanzania, kwa salamu zenu za kunitakia Heri, Mwenyezi Mungu awabariki sana, Nawepanda sana.
Mwigulu Nchemba, PhD22,508 görüntüleme • 2 yıl önce

Jana nimezindua Taasisi ya Usuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za kodi. Wafanyabiashara hawatakatiwa bidhaa au kufungiwa biashara zao kipindi ambacho changamoto zao kikodi zinapatiwa ufumbuzi. Ni matarajio ya Mheshimiwa Rais kuwa Taasisi hii inaenda kutatua malalamiko ya kikodi ili kuwasaidia wafanyabiashara kutopata hasara na serikali ipate mapato halali.
Mwigulu Nchemba, PhD18,840 görüntüleme • 2 yıl önce