
𝗡𝗚𝗨𝗖𝗛𝗜𝗥𝗢🇹🇿
@nguchiro47 • 17,867 subscribers
Shorts
Videos

👉Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda amezindua ukumbi wa kisasa wa Jeshi uliopewa jina la The SKYwave uliopo maeneo ya Msasani Beach, jirani na Msasani Beach Club Jijini Dar es Salaam. 👉Jenerali Mkunda ameeleza kuwa ukumbi huo una uwezo wa kubeba watu 1,500, na umefungwa vifaa vya kisasa na utatumika kwa shughuli za kijeshi pamoja na za kijamii ikiwemo warsha, vikao, makongamano na harusi. 👉Jenerali Mkunda amesisitiza kuwa JWTZ ni Jeshi la Wananchi hivyo ukumbi huo ni sehemu ya kuendelea kuimarisha mahusiano na ushirikiano baina ya wananchi na jeshi lao. Jenerali Mkunda ametoa wito kwa Wananchi wote kuutumia ukumbi huo kwa ajili ya shughuli zao za kijamii✍️🇹🇿
𝗡𝗚𝗨𝗖𝗛𝗜𝗥𝗢🇹🇿13,799 görüntüleme • 27 gün önce

👉 Huwezi mkuta Profesa Anna Tibaijuka mambo Ambayo yanamhusu yeye akiyaongea Kuwa alikosea✍️🇹🇿
𝗡𝗚𝗨𝗖𝗛𝗜𝗥𝗢🇹🇿20,570 görüntüleme • 2 ay önce

👉Sifuri ( 0 ) ukigawa Kwa sifuri ( 0 ) jibu lake ni mbili ( 2 )✍️
𝗡𝗚𝗨𝗖𝗛𝗜𝗥𝗢🇹🇿21,470 görüntüleme • 3 ay önce

👉Wanawake wakipata kile wanachohitaji, mara nyingi hupata utulivu wa nafsi na akili😁😁😁🙌
𝗡𝗚𝗨𝗖𝗛𝗜𝗥𝗢🇹🇿17,635 görüntüleme • 2 ay önce

👉kumbe hiki chama cha UMOJA WA HAKI ZA MADEREVA@🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇷🇼🇷🇼🥰🙏 cha "SAU" kinatembea kwenye flash😁😁😁
𝗡𝗚𝗨𝗖𝗛𝗜𝗥𝗢🇹🇿10,873 görüntüleme • 4 ay önce
Daha fazla içerik yok.