𝗡𝗚𝗨𝗖𝗛𝗜𝗥𝗢🇹🇿's banner
𝗡𝗚𝗨𝗖𝗛𝗜𝗥𝗢🇹🇿's profile picture

𝗡𝗚𝗨𝗖𝗛𝗜𝗥𝗢🇹🇿

@nguchiro4717,005 subscribers

Shorts

👉Pumzika kwa amani, Commando Israel John Kibona. Umeondoka duniani, lakini ujasiri, uzalendo na kujitolea kwako kwa taifa vitaendelea kuwa sehemu ya kumbukizi Kwa Taifa Kwa ujumla. Pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki na wote walioguswa na msiba huu, Lala salama shujaa🥹🥹🥹

12,809 次观看

👉 Ofisi ya nguchiro makao Makuu Tabora imegundua Ugonjwa mwingine unaowasumbua Watanzania wengi hasa vijana, ni kushindwa kukubali na kuthamini vya kwao. Hali hii imejenga mtazamo wa kudharau uwezo, rasilimali na mafanikio tuliyonayo kama taifa na badala yake kuwafanya wengi kuangalia nje ya nchi Kuwa ni Bora kuliko vya kwao. 👉Watanzania wengi wanaamini kuwa Marekani ni bora kuliko Tanzania katika kila nyanja ya maisha, kijeshi, kitamaduni, Kisiasa na kiuchumi, Imani hii imejikita zaidi kwenye fikra kuliko uhalisia, kwa kuwa mara nyingi hatusomi kwa kina changamoto walizonazo wao wala fursa tulizonazo sisi. Kila nchi ina nguvu na udhaifu wake na kulinganisha bila kuelewa muktadha ni kujidharau wenyewe. 👉Mtanzania yeyote anayefikiri kuwa kila kilicho cha nje ni bora kuliko cha nyumbani anapaswa kujitathmini upya. Tatizo si kupenda maendeleo ya wengine, bali ni kupoteza imani na heshima kwa taifa lako. Huu ni mtazamo unaodumaza fikra, unaozuia ubunifu na unaopunguza ari ya kulijenga taifa letu. 👉Tanzania ina misingi imara katika nyanja mbalimbali, ikiwemo ulinzi na usalama, ambapo jeshi letu limejengwa juu ya uzalendo, nidhamu na kulinda maslahi ya taifa. Tunapaswa kujifunza kujivunia tulipo, kupenda vya kwetu na kufanya kazi kwa bidii kuviboresha, badala ya kudharau na kusifia vya wengine bila sababu za msingi. 👉JWTZ NI JESHI BORA MNO AFRIKA MASHARIKI, AFRIKA NZIMA NA DUNIANI KOTE✍️

12,944 次观看

Videos

没有更多内容可加载