Nyebowsa_Media
@nyebowsa_media • 324,900 subscribers
Shorts
Videos
Producer wa muziki Shed Cleaver amefunguka kupitia Wasafi FM kuwa mwanamuziki Alikiba alipaswa kushiriki katika wimbo wa “Marry You” wa Diamond Platnumz na Ne-Yo. Shed Cleaver ameongeza kuwa Ne-Yo alikuwa na lengo la kuwakutanisha Diamond Platnumz na Alikiba kupitia wimbo huo ili kumaliza bifu lililokuwepo kati ya wasanii hao wawili. #nyebowsamedia #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪 #diamondplatnumz #alikiba
Nyebowsa_Media20,700 Aufrufe • vor 18 Tagen
Keine weiteren Inhalte verfügbar


