
Prisca Kishamba
@PKishamba • 318,111 subscribers
Tanzania Queen of Sports, Clouds Media Sports anchor & Reporter, TFF awards committee member, Member of the national committee, promotion of national teams
Shorts
Videos

HAYA SASA KUMEANZA KUCHANGAMKA 🙌 Wananchi baada ya kupoteza goli mchezo wao wa ligi kwa kufungwa goli 1 - 3 Wanataka kuhama Azam Complex kisa wanahisi wamehujumiwa na wenye uwanja wakishirikiana na watani wao Simba Sc na sasa wanataka kuwafuata Simba uwanja wa KMC COMPLEX. #KishambaUPDATES
Prisca Kishamba120,119 görüntüleme • 1 yıl önce

Baada ya Kituo cha Azam Tv kupitia kwa Mtendaji Mkuu wake Patrick Kahemele kuweka wazi kuwa wamejiweka kando kuonesha Mchezo wa Ngumi (Vitasa) kufuatia mvutano baina ya Bondia wa zamani Amos Mwamakula, juu ya kile alichodai kuwa Mapambano hayo yenye jina la Vitasa kuwa yeye ndiye mwanzilishi na hafaidiki na chochote ambapo baada ya kusikilizwa kesi mahakamani na Mwamakula kushinda kesi hivyo. Mahakama imeamuru Azam Tv kumlipa Mwamakula kiasi cha Shilingi Milioni 200 kutokana na kutumia mashindano ya Vitasa bila ya yeye kunufaika kwa chochote, huku taarifa zikidai kuwa Azam Tv walikata Rufaa ya kesi hiyo na kwasasa Azam Tv ikionyesha kutokuwa na mpango tena wa kuonesha mchezo wa Masumbwi. Baada ya mvutano wote huo kisheria na baadae hukumu kutoka, Sasa leo Septemba 18,2024, Mabondia mbalimbali wameiangukia Serikali wakiitaka kuingilia kati suala hilo kwani wao wanaishi na kuendesha familia zao kupitia mchezo huo. Mtangazaji & Editor ni (@morisitz_ ) #KishambaUPDATES
Prisca Kishamba104,784 görüntüleme • 1 yıl önce

Ni mwenyekiti wa klabu ya Simba Murtaza Mangungu akizungumza mara baada ya kutoka katika ofisi za wizara ya michezo zilizopo katika uwanja wa Mkapa ambapo wamefanya kikao na waziri wa michezo Kwa taarifa zaidi tembelea #youtube channel yetu ya Kishamba media #KishambaUPDATES
Prisca Kishamba52,823 görüntüleme • 1 yıl önce

Huyo ni shabiki wa timu ya Taifa ya Tanzania ambaye ameamua kurudisha hoja ya wachezaji 12 wa kigeni ndiyo wanairudisha nyuma timu yetu ya taifa, je anahoja? Pia shabiki huyu ameongeza kuwa wachezaji waliocheza leo katika timu zao wanapata nafasi ya kucheza lakini leo wameshindwa kuisaidia Stars Taarifa hii inatapatikana katika #youtube channel yetu ya Kishamba media gusa #link katika bio yetu hapo juu Presenter ( tedi tino7 ) Cameraman ( @almas__adam ) #KishambaUPDATES
Prisca Kishamba58,159 görüntüleme • 1 yıl önce

Makamu Rais wa Yanga SC Arafat Haji, ametamba na kusema kuwa wao wametinga fainali ya kombe la CRDB wanachosubiri wao ni nani anakuja kati ya Simba au Singida Arafat ameongeza kuwa ifikapo tarehe 15/6/2025 wataangalia wanaenda wapi maana wanamialiko mingi kama klabu nje ya nchi
Prisca Kishamba37,821 görüntüleme • 1 yıl önce

Kutokea makao makuu ya klabu ya Yanga huyo ni shabiki akiwa anatamba na jezi zake mpya nyeusi pamoja na njano ambayo inaonesha golü 5-1 ambazo waliifunga Simba msimu uliopita katika mchezo wa kwanza kwenye ligi kuu ya Tanzania bara Mahojiano haya tumekuwekea katika channel yetu ya Kishamba media kwa taarifa zaidi tembelea huko Mtangazaji ni ( tedi tino7 ) Mpiga picha ni (@Almas__adam ) #KishambaUPDATES
Prisca Kishamba38,985 görüntüleme • 2 yıl önce