
Prisca Kishamba
@PKishamba • 319,307 subscribers
Tanzania Queen of Sports, TFF awards committee member, Member of the national committee, promotion of national teams
Shorts
Videos

Rais wa TFF Wallace Karia amesema Simba na Yanga hawatosita kuwachukulia hatua wanafamilia wa mpira ambao watazisapoti timu pinzani zitakazocheza na Simba na Yanga. Rais Karia ameongeza kuwa mwanafamilia yoyote atakayesapoti Kwa Kuandika, kusema au kuwapokea atakuwa amekiuka sheria za wanafamilia wa mpira hivyo atachukuliwa hatua Kwa undani wa mahojiano haya tutazame kupitia Kishamba media #Youtube gusa link kwenye bio yetu hapo juu ujionee mambo mazuri. Mtangazaji ni tedi tino7 Cameraman ni @almas__adam #KishambaUPDATES
Prisca Kishamba176,311 次观看 • 2 年前

HAYA SASA KUMEANZA KUCHANGAMKA 🙌 Wananchi baada ya kupoteza goli mchezo wao wa ligi kwa kufungwa goli 1 - 3 Wanataka kuhama Azam Complex kisa wanahisi wamehujumiwa na wenye uwanja wakishirikiana na watani wao Simba Sc na sasa wanataka kuwafuata Simba uwanja wa KMC COMPLEX. #KishambaUPDATES
Prisca Kishamba120,211 次观看 • 1 年前

Baada ya Kituo cha Azam Tv kupitia kwa Mtendaji Mkuu wake Patrick Kahemele kuweka wazi kuwa wamejiweka kando kuonesha Mchezo wa Ngumi (Vitasa) kufuatia mvutano baina ya Bondia wa zamani Amos Mwamakula, juu ya kile alichodai kuwa Mapambano hayo yenye jina la Vitasa kuwa yeye ndiye mwanzilishi na hafaidiki na chochote ambapo baada ya kusikilizwa kesi mahakamani na Mwamakula kushinda kesi hivyo. Mahakama imeamuru Azam Tv kumlipa Mwamakula kiasi cha Shilingi Milioni 200 kutokana na kutumia mashindano ya Vitasa bila ya yeye kunufaika kwa chochote, huku taarifa zikidai kuwa Azam Tv walikata Rufaa ya kesi hiyo na kwasasa Azam Tv ikionyesha kutokuwa na mpango tena wa kuonesha mchezo wa Masumbwi. Baada ya mvutano wote huo kisheria na baadae hukumu kutoka, Sasa leo Septemba 18,2024, Mabondia mbalimbali wameiangukia Serikali wakiitaka kuingilia kati suala hilo kwani wao wanaishi na kuendesha familia zao kupitia mchezo huo. Mtangazaji & Editor ni (@morisitz_ ) #KishambaUPDATES
Prisca Kishamba104,799 次观看 • 2 年前

Huyo ni shabiki wa timu ya Taifa ya Tanzania ambaye ameamua kurudisha hoja ya wachezaji 12 wa kigeni ndiyo wanairudisha nyuma timu yetu ya taifa, je anahoja? Pia shabiki huyu ameongeza kuwa wachezaji waliocheza leo katika timu zao wanapata nafasi ya kucheza lakini leo wameshindwa kuisaidia Stars Taarifa hii inatapatikana katika #youtube channel yetu ya Kishamba media gusa #link katika bio yetu hapo juu Presenter ( tedi tino7 ) Cameraman ( @almas__adam ) #KishambaUPDATES
Prisca Kishamba58,159 次观看 • 2 年前

Makamu Rais wa Yanga SC Arafat Haji, ametamba na kusema kuwa wao wametinga fainali ya kombe la CRDB wanachosubiri wao ni nani anakuja kati ya Simba au Singida Arafat ameongeza kuwa ifikapo tarehe 15/6/2025 wataangalia wanaenda wapi maana wanamialiko mingi kama klabu nje ya nchi
Prisca Kishamba37,822 次观看 • 1 年前