
Peter Madeleka
@PMadeleka • 146,355 subscribers
Chief Legal Counsel at Stalwart Law Chambers
Shorts
Videos

Ila KATAMBI! Anaulizwa swali dogo tu; “NI KIFUNGU GANI CHA SHERIA ULICHOTUMIA?”. Anaishia KUPUYANGA TU. Jamani, UCHAWI UPO.😂😂
Peter Madeleka74,346 просмотров • 3 месяцев назад

PAUL CHACHA NI MSEMA KWELI: Ndugu Paul CHACHA ni MSEMA KWELI. Tumuunge Mkono. Pokea 💐🥀🌷🌹 yako.👇
Peter Madeleka16,844 просмотров • 21 дней назад

Ni HAKI yako kufikiri unavyotaka kuhusu VIDEO hiyo hapo 👇.
Peter Madeleka276,275 просмотров • 2 лет назад

Ukipenda, sema chochote kuhusu 👇, lakini, tafadhali sana, iwe kwa HESHIMA, UUNGWANA na STAHA. Usije kusema “NIMEKUPONZA”. 😂😂
Peter Madeleka133,873 просмотров • 11 месяцев назад

Yaani, KATAMBI ampe AMRI, afande IGP (Mst.) OMAR MAHITA! weeee, THUBUTUU!😂😂
Peter Madeleka50,389 просмотров • 3 месяцев назад

Hapo 👇Jaji Mku GEORGE MASAJU alikuwa ANALALAMIKA KWA UCHUNGU SANA.🥲🥲
Peter Madeleka40,559 просмотров • 3 месяцев назад
2:01
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Kwa Kweli SIJUI tunaelekea wapi? fatma karume aka Shangazi Maria Sarungi Tsehai
Peter Madeleka342,223 просмотров • 3 лет назад

Duniani kote huwa HAKUNA UHAINI UNAOFANYWA NA MTU MMOJA.👇🥲🥲
Peter Madeleka28,242 просмотров • 3 месяцев назад

Ujumbe huo hapo 👇 ni MAHSUSI kwa WANAWAKE WOTE ambao WANAJITAMBUA hapa Tanzania. Kama umeguswa na tukio la BINTI KUBAKWA na KULAWITIWA, basi UNGANA na WAPENDA HAKI kudai hatua zichukuliwe dhidi ya MASHETANI. Mimi nasema, WANAWAKE WOTE BILA KUJALI CHEO, AMKENI.
Peter Madeleka140,379 просмотров • 2 лет назад