
Rahuuuum
@RahmaMwita • 69,595 subscribers
TV Journalist/ Writer/BookAddict/ Founder @OYO_Tanzania / YALI-EAC Alumni/ GlobalGoalsChampion🌍/https://t.co/MwfbyyoTeM
Shorts
Videos

Pole kwa familia Ya Marehemu, Pole kwa TRA lakini pole kwa watanzania wote kwa ujumla. Tuna hasira tuna hofu na tumekosa imani na vyombo vya usalama mwisho wa siku tunauwana wenyewe kwa wenyewe. Ni muda wa kukaa chini na kujua ni nani adui yetu ili tudeal na huyo. Tumempoteza Mwenzetu watekaji haitawagusa hii wala haitawaogopesha wataendelea kwa sababu tumefeli tena kujilinda. Mwenyezi Mungu atuongoze kwenye Mapambano yetu. 🙏🏾💯
Rahuuuum63,245 views • 1 year ago
No more content to load