
Rashda Zunde
@RashdaZunde • 7,815 subscribers
|Proudly Tanzanian| | God Fearing😊| God's last born| Yanga 💚💛| Mama Asif😊
Videos

Lema anasema Soka amefariki. Hizi taarifa zinaukweli wowote?🤔
Rashda Zunde106,902 görüntüleme • 1 yıl önce

CHADEMA mnasafri ndefu sana ya kuwalea kwa maadili vijana wenu kwani hawaheshimu familia ya mfiwa wala marehemu mwenyewe. Yani wao wanachowaza ni vurugu tu muda wote, mpaka mwenyekiti wenu anaongea kwa hasira hivi maana yake mmekitia aibu chama chenu. Badilikeni.
Rashda Zunde97,717 görüntüleme • 1 yıl önce
Daha fazla içerik yok.