
Rose Mayemba
@rose_mayemba • 47,179 subscribers
Chadema Central Committee member, Pharmaceutical Technician,Business woman& Child of God...
Shorts
Videos

Mtu yeyote mwenye sensible mind hawezi kuzungumza haya anayozungumza huyu mwanamke hasa katika kipindi hiki ambacho Taifa liko katikati ya majonzi... Ujasiri huu unawezekana tu kwa 1. Mtu aliyechanganyikiwa, 2.Aliyebeba kichwa bila ubongo waswahili wanaiita hiyo kichwa "debe tupu"...
Rose Mayemba20,050 views • 16 days ago

Pamoja na kutokukubaliana maamuzi ya kuondoka kwako, pamoja na ukweli mwingine pia kwamba mimi ni mmoja wa watu walioumizwa sana na maamuzi uliyowahi kuyachukua. Mimi pia ni mmoja wa wachache waliochagua kukuelewa. Labda kwasababu wewe ukiwa darini unaungua mimi nilikuwa ndani ya viatu vyako. Karibu nyumbani. #Lettingthebygonesbebygones
Rose Mayemba15,487 views • 15 days ago

Mzigo ukifika Sokoni utakuta TRA wamejazana Ofisini kwako wanataka Kodi yao, Halmashauri wanataka Ushuru wao, Sokoni wameshakuandalia risiti ya kibali cha kuingiza mzigo Sokoni. Mwenye Gari amekupandishia nauli maana gari yake imekaa porini siku tatu kwa kukwama. Watu wa Benki nao wamechachamaa umechelewesha rejesho la mwezi. Hii ni barabara ya kijiji Mfriga, Jimbo la Lupembe Mkoani Njombe. Miaka yote tangu Uhuru hizi ndo adha wanazokutana nazo wakulima na wafanyabiashara huku vijijini. Wenye wajibu wa kukomesha hali hii wako busy kumuimbia Mtukufu Malkia nyimbo za kusifu na kuabudu. Kazi yao ni kuvuna mahali ambapo hawakuwahi kuweka mbegu... Iko siku.
Rose Mayemba18,864 views • 2 months ago

Shule bila Ada. Asante sana Mhe Rais wa TLS na kaka yangu Boniface Mwabukusi
Rose Mayemba62,414 views • 1 year ago

Hizi ndo siasa za ULAGHAI za CCM. Wananchi hawana Maji, hawana Barabara, Dawa hakuna Hospitali, watoto wanasoma kwenye shule ambazo hazina Vitabu wala Waalimu, kupata mlo mmoja kwa siku ni tabu, anakuja Mbunge anawagawia Kanga za elf tano tano kisa uchaguzi umekaribia. Dah!.
Rose Mayemba19,545 views • 1 year ago

Tayari tumekabidhi Msafara wa Makamu Mwenyekiti John Heche kwa Mwenyekiti wa Mkoa wa Iringa tayari kwa kuendelea na kampeni maalumu(NO REFORMS NO ELECTION) ya kuwaomba watanzania watuunge mkono kuukataa mfumo mbovu wa Uchaguzi uliopo. TUBAKI NJIA KUU... NO REFORMS NO ELECTION
Rose Mayemba14,712 views • 1 year ago
No more content to load