Rose Mayemba's banner
Rose Mayemba's profile picture

Rose Mayemba

@rose_mayemba47,709 subscribers

Chadema Central Committee member, Pharmaceutical Technician,Business woman& Child of God...

Shorts

Sikia dada. Kwanza hakuna aliyewachagua, usijilishe upepo. Pili, Ndugu Mahmoud Thabit Kombo anashinda kwenye corridor za hao unaosema hawana taarifa sahihi, eti wana taarifa za upande mmoja. Lazaro Nyalandu , balozi, mwanadiplomasia na mshauri wa Samia,tarehe 6 Feb 2026 alikutana na Senator Cruz, Palm Beach Airport, kujadili mambo hayo hayo unayodhani hawajui. Ulipaswa kusema kwamba, pamoja na kila aina ya ushawishi mliofanya, wazee wa “who are you” wamegoma kuwaelewa, wamekaza kamba. Mlichokifanya October 29, and aftermath, was an unmistakable mistake, na itawagharimu duniani na akhera.

13,040 görüntüleme

Ndugu Samia, Kama ulidhani kutuua kwa maelfu kutaturudisha nyuma, basi ulijiongoza vibaya. Hapa ndipo tulipofika. You killed us only to escalate our anger to this level. We are not afraid of death if living means ending up being killed, tortured, assaulted, and finally jailed.

10,890 görüntüleme

Videos

rose_mayemba's profile picture

HIDE MY ID!. Mwigulu Nchemba alipokuwa iringa akiendelea na maigizo yake ya kutengeneza matukio na kuyapa majibu kama vile ni shida za wananchi wanyonge kumbe nyingi ni za kutengeneza ili kupata umaarufu wa kujijenga kuwa ni sehemu ya wanyonge. Tukio la hivi karibuni lillitokea Iringa. Ambapo Nchemba alionekana akighazibika na kuita watumishi na baraza la madiwani kuwa ni wajinga na kuwa wamemnyang’anya baba wa kijana mlalamikaji ardhi mkoani dodoma aliyonunua mil 32 na kuwapa taasisi ya umma kwa mil 338. Ukweli ni nini ? Ukweli ni kuwa huyu kijana anaitwa PAYA, Mjomba wake na Jah People, Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Makambako na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Njombe. Hii ni Cinema, imepangwa kabisa. Kwamba nchi hii imefika mahali mwenyekiti wa CCM wa mkoa anaeleza shida zake kwenye mikutano ya wanachi ya malalamiko. Aidha, kiwanja hicho kiwanja namba 24 kitalu AY eneo la Nzuguni ni kati ya viwanja vilivyokuwa vinauzwa kwa mnada na jiji la Dodoma mwaka 2021. Baada ya kuwa hakijauzwa, kwa njia za udanganyifu kiwanja kikauzwa shs mil 32 kwa jah people, imagine kiwanja mjini dodoma nzuguni cha ukubwa wa mita za mraba 8,700 kwa mil 32. Ofisi ya Jiji bila kujua kuwa kuna wale watumishi wahuni wameiba doc, wakaendelea na mnada wa kiwanja, kiwanja kikanunuliwa na Jkt kwa shs 337,177,685. Mzee akaitwa kuambiwa umetapeli na utapewa kiwanja kingine cha gharama ya kweli ya ulicholipa. Akakubali. Baada ya kuonana na Pm akabadili mawazo, akaondoka dodoma . Ikapangwa ziara ya iringa, sehemu ambayo baraza la madiwani halipo na haliwezi kujitetea , akaibuka Mjomba wa mwenyekiti wa chama wa mkoa kama mwanachi mnyonge kumbe ni genge la wanaotaka kuiba nchi... Haya mambo yanatia hasira sana.

Rose Mayemba

19,338 görüntüleme • 2 ay önce