
Rose Moshi Makei
@RoseMakei • 24,846 subscribers
MWENYEKITI BAWACHA KANDA YA PWANI DIWANI V/MAALUM MSTAAFU MANISPAA YA KINONDON
Videos

Anaandika Mh John Heche Nimemsikiliza Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba akiongea kuhusu mizania ya (Export na import ) Yaani mauzo yetu kwenda nje ya Nchi na sisi tunachoagiza kutoka nje. Mwigulu amesema tunauza kidogo sana hasa bidhaa na mazao ya kilimo,
Rose Moshi Makei48,071 просмотров • 3 лет назад

MUNGU amesikia kilio cha wananchi wa Niger akawainulia MTU Watanzania tumpate wapi mtu kama huyu, ambae ROHO wa MUNGU anakaa ndani yake? Eee MUNGU tuinulie Musa wetu atufikishe Kaanani #TuendeleenamaombiyaTOBAnaREHEMA #255OkoaBandariZetu #255KatibaMpyaniSasa
Rose Moshi Makei17,654 просмотров • 3 лет назад
Больше нет контента для загрузки