
sanjo
@sanjodaud1 • 6,850 subscribers
Arsenal | Omnivert | Culture
Shorts
Videos
0:45
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

📍| Sehemu fulani hivi kwenye ngoma za asili. 👇wanafanya kile wewe huwezi kufanya 😂
sanjo83,529 Aufrufe • vor 2 Monaten

👀 | Ni mila zinazopotea kutokana na kuishiwa nguvu ndani ya jamii. Elimu , sheria pamoja na uwajibikaji umechangia pakubwa kutokomeza mila kandamizi ndani ya jamii nyingi nchini 🇹🇿. Msichana wa Kimasai afikishapo umri wa balehe hupelekwa msituni kwa ajili ya sherehe za UNYAGO. Kumuelekeza majukumu ya utu uzima pamoja na kukeketwa. Kwa sasa mila hizi hazina maana kutokana na madhara makubwa kwa binadamu.
sanjo44,378 Aufrufe • vor 2 Monaten
0:50
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

🇿🇦 | KwaNongoma, South Africa inapatikana jamii ya Wazulu (Zulu) yenye utamaduni wa kipekee kwa mabinti wao. Jamii huandaa sherehe ya mabinti wote walio bikira iitwayo sherehe ya mianzi 🌾 (Umkhosi Womhlanga). Sherehe hii huleta pamoja maelfu ya mabinti waliobikira ambao hawajaolewa na hawana watoto. Lengo ni kusherehekea usafi wa usichana wao na kukuza maadili ya kujitunza ubikira zaidi. Maelfu ya mabinti hukusanyika kutoka maeneo mbalimbali na kubeba mianzi 🌾 inayokatwa mtoni na kuiwasilisha katika makazi ya kifalme wa jamii hiyo. Mianzi🌾(reeds) hiyo hutumika kujenga au kukarabati makazi ya kifalme. Na bada ya hapo, hucheza ngoma kubwa za kimila mbele ya viongozi wao. NB: Mabikira nchini Eswatini hupokea mshahara, unakaribishwa.
sanjo18,980 Aufrufe • vor 2 Monaten

🇹🇿 | Wasukuma ndiyo jamii kubwa zaidi chini Tanzania. Makazi yao ya asili yanapatikana kaskazini-magharibi mwa Tanzania, kuzunguka ziwa Victoria. 📍 Maeneo wanapoishi kwa wingi ni Mwanza, Shinyanga,Simiyu,Geita. Pia wameenea katika baadhi ya maeneo ya Tabora, Katavi, Rukwa na mikoa mingine kutokana na uhamaji. Eneo lao la kihistoria huitwa Usukuma/Sukumaland. Utamaduni wa ndoa kwa wasichana ulizingatia zaidi Balehe. Baadhi ya maeneo, msichana alipoonekana amefikia hatua ya kubalehe, jamii iliweza kuona kuwa tayari kwa ndoa. Wasichana wadogo walipofikia umri wa kubalehe waliozeshwa kwa sababu jamii iliamini mwanamke mdogo ana muda mwingi wa kuzaa watoto wengi ambao ni nguvu kazi katika familia ili kusaidia kilimo, mifugo na kazi za nyumbani. NB: Wasukuma ni jamii lakini ina makundi tofauti tofauti yanayozungumza lahaja( lugha yao) .
sanjo10,888 Aufrufe • vor 2 Monaten
Keine weiteren Inhalte verfügbar