sanjo's banner
sanjo's profile picture

sanjo

@sanjodaud1 • 6,850 subscribers

Arsenal | Omnivert | Culture

Shorts

🇹🇿| Wasichana wa Kimaasai

Sensitive content

🇹🇿| Wasichana wa Kimaasai

26,335 次观看

🇳🇦 | Kunene, Namibia ndipo jamii ya Wahimba (Ovahimba) inapatikana hapo. Jamii hii ina mila na desturi ya kipekee katika kuenzi matukio mbali mbali. Wahimba huwakumbuka mababu walio fariki kwa kufanya sherehe zijulikanazo kama sherehe za mababu waliofariki (Okuyambera). Mavazi ya maombolezo hubadilishwa Katika kumbukumbu ya kwanza baada ya kipindi cha maombolezo na kurudi kwenye mavazi ya kawaida ambayo yatabadilishwa baada ya sherehe hizo kutamatika. Nguzo za kumbukumbu zinazoitwa (ozongunde) huwekwa kwa kila kaburi zikiwa na viashiria vya majukumu ya mrithi wa marehemu na uhusiano wake na familia ya marehemu. 🦵 Hiyo miguu iliyosimama ni nguzo maalumu zenye umbo la mguu zikiwa na ujumbe kwa marehemu.

24,960 次观看

Videos

📍| Sehemu fulani hivi kwenye ngoma za asili. 👇wanafanya kile wewe huwezi kufanya 😂
0:45

Sensitive content

This media may contain sensitive content.

没有更多内容可加载