Better With SATO Africa's banner
Better With SATO Africa's profile picture

Better With SATO Africa

@SATO_Toilets_AF26,413 subscribers

We are SATO, an award-winning social business that has positively impacted the lives of more than 35 million people across 44 countries.

Shorts

Watu milioni 208 kotekote barani Afrika wanaendelea kujisaidia haja ndogo hadharani na kujiweka katika hatari ya kiafya kutokana na magonjwa yanayohusianishwa na uchagu wa mazingira (UNICEF). Shirika lako linaweza kushiriki katika kubadilisha hali hii. Ni rahisi! Chagua jamii unayotaka kupeleka maboresho kwa urahisi, agiza vyoo vya SATO vinavyohitajika, na uungane na mtandao wetu mpana wa waashi waliofunzwa na SATO ili kukamilisha ujenzi wa vyoo hivyo. Wasiliana nasi leo ili kuanza -

26,835 görüntüleme

Videos

Daha fazla içerik yok.