Shaffih  Dauda's banner
Shaffih  Dauda's profile picture

Shaffih Dauda

@shaffihdauda1998,819 subscribers

Head of Programs at @CloudsMediaLive | Sports Analyst at CLOUDSFM Radio and CLOUDS TV | Tweets are my own

Shorts

Spain wameonyesha tena kuwa ubora wao haupo kwenye kumiliki mpira pekee, bali pia kwenye kutumia akili. Wameizima kasi ya Ufaransa, wakatawala eneo la kati na kutumia nafasi zao kwa ufanisi. Ushindi wa mabao 2-0 ni matokeo ya nidhamu, uvumilivu na mpango bora wa mchezo. Sasa Spain wanaelekea fainali wakiwa na sura ya timu inayojua kabisa namna ya kushinda mechi kubwa.

56,748 просмотров

REFA KAMEZA MLIO Kwenye tukio hili Mwamuzi ameshindwa kuwapa faida wanayostahili Mashujaa FC tukio lililotokea kabla ya mapumziko. Ibrahim Bacca ameinua mguu na mguu umetua kwenye kichwa cha mchezaji wa Mashujaa, tukio hili moja kwa moja ni faulo na kwa sababu limetokea ndani ya 18 Mashujaa walipaswa mkwaju wa penati lakini mwamuzi kameza mlio. DK 54 | Mashujaa 0-3 Yanga SC

111,783 просмотров

AFCON 2025 | MOROCCO 🇲🇦 Baada ya dakika 90 , Legend El Hadj Diouf amemuita Sadio Mane alafu amempa Kumbato. Kwa faida tu nje ya mada …… Siku ya Jana Legend Diouf alifanya interview akasema yeye pia haungi mkono mpango wa Sadio Mane kuwa hii ni AFCON yake ya mwisho atatumia muda wake kujaribu kumshawishi ili awepo AFCON ijayo.

36,567 просмотров

Msiseme sijawaambia 😂 …

Msiseme sijawaambia 😂 …

59,203 просмотров

AFCON 2025 | MOROCCO 🇲🇦 Kila Refa aliyechezesha mechi ya Morocco 🇲🇦 amekumbana na ukosoaji mkubwa na kila timu inayotolewa na Morocco 🇲🇦 inalalamika kuwa imeonewa Akor Adams Huyu ni Mshambuliaji wa Nigeria baada ya mechi kuisha aliwambia waandishi wa habari kama wanataka Interview wakamfanyie Refa sio wao.

30,322 просмотров

Za kuambiwa ..

Za kuambiwa ..

53,238 просмотров

Videos

shaffihdauda1's profile picture

Hii sio sawa ❌

Shaffih Dauda

156,348 просмотров • 2 лет назад

shaffihdauda1's profile picture

FOOTBALL 🤝MAISHA Juzi niliandika kidogo kuhusu mpira wa miguu na tafsiri ya moja kwa moja ya maisha , kwenye video alikuwa Ahmed Ally na vijana wenye changamoto ya utindio wa Ubongo kwa pamoja walikuwa wakifanya hamasa na kaulimbiu ni #HiiTunavuka Huko nyuma Ziliwahi kuwekwa slogan nyingi sana lakini hazikuweza kuwafikisha Simba walipo leo , zilifanywa hamasa hasa lakini hazikuwafikisha walipofika leo 2024/25 ni mwaka wa bahati kwa Semaji , mapema tu mwezi August alitupa msemo wa #UbayaUbwela kwenye Pre Season imetoboa na ndio msemo bora wa kimichezo nchini consistently tangu alipoutamka , kwenye leo LeoTena ya CloudsFM alisema yeye ni mtoto wa Yombo na huo msemo ameutoa huko kitaa well Nchi imeupokea na sasa inauishi. Juzi baada ya kupoteza kwa bao 2 , akaacha Fadlu na vijana wake wafanye wanachojua mazoezini yeye akawaambia mashabiki hii haijaisha na Jumatano Tunavuka nchi nzima ikaanza kuimba #HiiTunavuka Jioni ya April 9 , Shomari Kapombe kwenye panati ya Maamuzi , Jukwaa limesimama kelele kwa mbaaaali , jukwaani Semaji amejikunja kama kinda la Ndege usoni chozi likimdondoka Oooooh Yes , Goaaaaaaal na Mnyama amefuzu Nusu Fainali 🙌 Kwenye kilele cha furaha semaji anashindwa kujizuia sura imemaliza tabasamu lote kilichokuwa karibu ni machozi tu Mwanaume amelia , kwa sababu ya mpira Ahmed amedondosha chozi , kwa sababu ya mpira kila nyumba ya mwanasimba leo ni sikukuu Kaka nakukubali 👊 unawaheshimisha wanasimba , unawafanya wauishi mpira 👊

Shaffih Dauda

103,333 просмотров • 1 год назад

shaffihdauda1's profile picture

Bao la Mazoezini 🔥

Shaffih Dauda

32,606 просмотров • 6 месяцев назад

shaffihdauda1's profile picture

Kuongea na media bado ni shida kubwa kwa wachezaji wetu

Shaffih Dauda

65,869 просмотров • 1 год назад