
Extreme Introvert🧕💫
@Sincerelyrahma7 • 11,412 subscribers
Proud muslim | Proud mom | JUST PROUD 😚💃🤸♀️
Shorts
Videos

Huwa sielewi katika tabia zote kwanini mwanamke achague kuwa mwizi😹
Extreme Introvert🧕💫36,371 просмотров • 2 дней назад

Huko insta kuna mtu kamwambia vee eti “kiukweli we ni mzuri ila ukiwa na kiredio” Ko kumaanisha kwamba?!😂
Extreme Introvert🧕💫57,885 просмотров • 5 дней назад

Kiukweli MBEYA tunajitahidi sana kupabrand ila mmmmh mbombo ngafu leo tumesutwa vya maukweli😭😂🙌
Extreme Introvert🧕💫30,013 просмотров • 15 дней назад
1:36
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Leo ni birthday ya Mama Ryan❤️ Ila kwa mara ya kwanza, naomba nisiambiwe "Happy Birthday" Sijisikii kusherehekea chochote Badala yake, niombeeni dua, dua nyingi na kwa wingi Kiukweli kuna mapambano ambayo nimeyabeba kimya kiasi kwamba hata tabasamu langu kuna muda limekuwa sehemu ya kuficha maumivu. Kuna usiku ambao nimekesha nikimwomba Mwenyezi Mungu anipe sababu ya kuendelea, na kuna siku ambazo nimecheka mbele za watu huku moyo wangu ukiwa umechoka kupita maelezo Sijui mwaka huu utaniletea nini ila ninachojua ni kwamba nimefika hapa kwa rehema za M/Mungu na si kwa sababu nilikuwa na nguvu kuliko matatizo yangu ila ni kwa kuwa alinipa ujasiri Kama umewahi kunitakia mema, leo usinipe salamu za birthday bali nipe dua na uniombee kheri M/Mungu aniondolee yale yanayoniumiza kimya kimya, anifungulie milango ya kheri, anipe utulivu wa moyo, na aniandikie maisha yenye baraka kuliko niliyowahi kuyaota. Wakati mwingine dua moja ya kweli kutoka kwa mtu usiyemtegemea inaweza kubadili maisha kuliko maneno elfu ya pongezi. Allah anijaalie umri huu mpya uwe mwanzo wa faraja baada ya maumivu, mwanga baada ya giza, na urahisi baada ya kila ugumu. Aamiin 🤲🏽
Extreme Introvert🧕💫25,875 просмотров • 1 месяц назад

I feel so heartbroken😔 MSIZAE KAMA HAMUWEZI KULEA JAMANI MNAWATESA HAWA MALAIKA WA MUNGU🙌
Extreme Introvert🧕💫15,354 просмотров • 1 месяц назад
Больше нет контента для загрузки