
Sir Major☀️
@smkami • 2,439 subscribers
Petroleum and Industrial Services Expert | Businessman | Human Rights Monitor | Political Infuencer
Shorts
Videos

Kumbe CHAUMMA kiliwavuta kwa mbinu yao "Ubwabwa" kikawaahidi mikopo, "kikawatembeza na kuwazungusha juani" halafu wakakuta patupu! Enways kuna Mtari kutoka katika Biblia Luka 9:60 unaosema “Waache wafu wazike wafu wao; bali wewe enenda ukautangaze Ufalme wa Mungu.” Tuendelee kumuombea huku tukifuatilia kesi ya uhaini inayomkabili mzalendo na mtetezi wa haki za binadamu Mhe Tundu Lissu.
Sir Major☀️53,062 görüntüleme • 4 gün önce

Inawezekana wakati Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Tundu Lissu, alipokuwa akimwelekeza Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mhe. John Heche, “kupeleka moto,” huenda wengi wasijue alimaanisha nini hasa! Hii ni mojawapo ya mifano inayoonyesha jinsi Tundu Lissu alivyokuwa "akipeleka moto" kisawasawa Bungeni kwa kila aliyekiuka sheria za nchi au kutenda kinyume na misingi ya haki. Leo hii, mzalendo huyu na “Think Tank” yuko nyuma ya kuta za Magereza, akituhumiwa kwa kesi ya uhaini!
Sir Major☀️56,299 görüntüleme • 5 gün önce

Ni wazi kwamba Balozi Humphrey Polepole alikuwa mbele ya muda.
Sir Major☀️30,977 görüntüleme • 4 gün önce

"Kuna watu wanasema Nchimbi tatizo lake ni ana vimisimamosimamo hivi. Ni kweli na kwa hili ni lazima tuelewane tu kwenye mambo ya msingi mimi nina msimamo. Kama mnataka kunitimua kwa misimamo nitimueni leo leo." "MwanaCCM asiye na msimamo ni ndumilakuwili tu, sio sifa ya kuwa mwanachama". Dr Emmanuel Nchimbi
Sir Major☀️21,872 görüntüleme • 4 gün önce

Linusu Kimario, mkazi wa Kipawa, Dar es Salaam, amedai kupigwa na kundi la waendesha bodaboda zaidi ya 30 katika eneo la Kinyerezi Pondi, wakimuhoji kwanini amekuwa akivaa nguo yenye picha ya Rais Samia Suluhu Hassan kila siku. Baada ya tukio hilo Kimario alitoa taarifa katika kituo cha Polisi Stakishari, ambapo alipewa PF3 kwa ajili ya kupata matibabu. Aidha, ameomba mamlaka kuchukua hatua dhidi ya watu hao, huku akiomba nafasi ya kuonana na Rais Samia kwakuwa anampenda sana na anajambo la kuzungumza naye.
Sir Major☀️46,062 görüntüleme • 16 gün önce

Mtu huyu (Tundu Lissu) hajawahi kujenga reli wala daraja la juu (fly over) lakini tazama jinsi alivyo na wafuasi wengi. Unapoishi na hiyo roho ya ushindi ndani yako, kama mtu anataka kukuua huwezi kufa, Kwa sababu wewe ni mshindi. Mshindi Huwezi Kumshusha. Mshindi Huwezi Kumuangamiza. Mshindi Huwezi Kumtishia. Mshindi Huwezi Kumshinda. "How are you going to conquer the man with the spirit of victory"? Kwa tafsiri ya kiswahili "Unawezaje kumshinda mtu mwenye roho ya ushindi"? Apostle & Prophet J. Mwingira Of Efatha Church Endelea kumsikiliza....
Sir Major☀️21,501 görüntüleme • 7 gün önce

Huu ni zaidi ya Ushetani! Mtoto wa miaka saba, mwanafunzi wa darasa la tatu katika shule moja ya msingi iliyopo kijiji cha Sokon II, wilayani Arumeru mkoani Arusha, anadaiwa kubakwa na mwanaume mmoja maarufu babuu ambaye ni mlinzi wa shule moja ya sekondari katika eneo hilo. Tukio hilo linadaiwa kutokea Agosti 2, 2026, baada ya mtoto huyo kwenda katika shule hiyo iliyopo jirani na nyumba yao hivyo alikuwa akiwafuta ndugu zake wanaosoma hapo.
Sir Major☀️21,119 görüntüleme • 15 gün önce

"Unaita vyama vya brifcase unasema tunaweza kuendelea bila CHADEMA. Hivyo vyama si vilikuwa kwenye uchaguzi, Si vilisema uchaguzi ulikuwa huru na haki sasa vinaenda kuridhiana nao nini wakati wao walikubali kwamba uchaguzi ulikuwa huru na wa haki?" M/Kiti CHADEMA John Heche
Sir Major☀️30,735 görüntüleme • 26 gün önce

Mmemsikia Mchengerwa lakini? Leo nasoma maoni kwenye Comments, ila ziwe fupi fupi!
Sir Major☀️20,379 görüntüleme • 1 ay önce

Nilikuwa najaribu kumsikiliza Waziri Mkuu anasema "Taifa hili lina rasilimali za kutosha, na ndio maana watu wengine wanalimezea mate. Amezunguza rasilimali tulizonazo na ni kweli, Lakini mbona Watanzania hatufanani rasilimali hizo"? Endelea kuwasikiliza vijana wa Uyole, Mbeya
Sir Major☀️19,289 görüntüleme • 1 ay önce

Una lipi la kumwambia Bonge? Salamu kidogo kwake tafadhali..
Sir Major☀️66,698 görüntüleme • 10 ay önce
Daha fazla içerik yok.