
Swahili RealTalk🇹🇿🇦🇺
@SwahiliRealTalk • 47,394 subscribers
Football for life enjoy
Shorts
Videos

Sifa zimemponza kijana sisi tulimwambia akatuona waduwanzi 😃
Swahili RealTalk🇹🇿🇦🇺30,132 views • 4 months ago

Kumbe mwenetu wa nashindwa kuelewaa amesharudi bhnaa 😂😂
Swahili RealTalk🇹🇿🇦🇺12,414 views • 1 month ago

Wakuu acheni wizi uchawi upo 😂 mwenetu kajichanganya huku 😃
Swahili RealTalk🇹🇿🇦🇺18,360 views • 4 months ago

WENDEL LIRA WA BRAZIL WAMEKUTANA NA CLATOUS CHAMA KWENYE PUSKAS GOAL Nawasogezea Chuma hiki hapa, Hili ni bao Bora la Puskas Award lililopatilana mwaka 2015 likifungwa na Wendell lira nyota wa Brazil Wakati huo alikuwa na kikosi Cha Goianesia aliwafunga Atletico Goianiens ya Brazil Kwa ushindi wa Goli 1-0 na kushinda tuzo ya goli bora la msimu Kwa kura Asilimia 46.7 Na hapa Chini ni goli la Mwamba wa Lusaka Clatous Chama lililofungwa May 3,2026 katika uwanja Wa Mej Gen Isamuhyo Simba ikitoa sare ya Magoli 2-2 dhidi ya Yanga Mambo yanafanana haya imepita Miaka 10 limekuja kupatikana goli jingine. Follow me on Swahili RealTalk🇹🇿🇦🇺
Swahili RealTalk🇹🇿🇦🇺17,316 views • 4 months ago
No more content to load