
Swahili RealTalk🇹🇿🇦🇺
@SwahiliRealTalk • 47,394 subscribers
Football for life enjoy
Shorts
Videos

Kubet sio dhambi wanangu ni swala la makubaliano tu 😅
Swahili RealTalk🇹🇿🇦🇺14,332 görüntüleme • 9 gün önce

Ally kamwe ameshatua na mwalimu Zanzibar ila majina ya Sele sio ya kuyaamini kabisa 🤣🤣
Swahili RealTalk🇹🇿🇦🇺21,347 görüntüleme • 1 ay önce

Sifa zimemponza kijana sisi tulimwambia akatuona waduwanzi 😃
Swahili RealTalk🇹🇿🇦🇺30,132 görüntüleme • 4 ay önce

Kumbe mwenetu wa nashindwa kuelewaa amesharudi bhnaa 😂😂
Swahili RealTalk🇹🇿🇦🇺12,414 görüntüleme • 1 ay önce

Wakuu acheni wizi uchawi upo 😂 mwenetu kajichanganya huku 😃
Swahili RealTalk🇹🇿🇦🇺18,360 görüntüleme • 4 ay önce

WENDEL LIRA WA BRAZIL WAMEKUTANA NA CLATOUS CHAMA KWENYE PUSKAS GOAL Nawasogezea Chuma hiki hapa, Hili ni bao Bora la Puskas Award lililopatilana mwaka 2015 likifungwa na Wendell lira nyota wa Brazil Wakati huo alikuwa na kikosi Cha Goianesia aliwafunga Atletico Goianiens ya Brazil Kwa ushindi wa Goli 1-0 na kushinda tuzo ya goli bora la msimu Kwa kura Asilimia 46.7 Na hapa Chini ni goli la Mwamba wa Lusaka Clatous Chama lililofungwa May 3,2026 katika uwanja Wa Mej Gen Isamuhyo Simba ikitoa sare ya Magoli 2-2 dhidi ya Yanga Mambo yanafanana haya imepita Miaka 10 limekuja kupatikana goli jingine. Follow me on Swahili RealTalk🇹🇿🇦🇺
Swahili RealTalk🇹🇿🇦🇺17,316 görüntüleme • 4 ay önce
Daha fazla içerik yok.