
Swahili RealTalk🇹🇿🇦🇺
@SwahiliRealTalk • 47,160 subscribers
Football for life enjoy
Shorts
Videos

WENDEL LIRA WA BRAZIL WAMEKUTANA NA CLATOUS CHAMA KWENYE PUSKAS GOAL Nawasogezea Chuma hiki hapa, Hili ni bao Bora la Puskas Award lililopatilana mwaka 2015 likifungwa na Wendell lira nyota wa Brazil Wakati huo alikuwa na kikosi Cha Goianesia aliwafunga Atletico Goianiens ya Brazil Kwa ushindi wa Goli 1-0 na kushinda tuzo ya goli bora la msimu Kwa kura Asilimia 46.7 Na hapa Chini ni goli la Mwamba wa Lusaka Clatous Chama lililofungwa May 3,2026 katika uwanja Wa Mej Gen Isamuhyo Simba ikitoa sare ya Magoli 2-2 dhidi ya Yanga Mambo yanafanana haya imepita Miaka 10 limekuja kupatikana goli jingine. Follow me on Swahili RealTalk🇹🇿🇦🇺
Swahili RealTalk🇹🇿🇦🇺17,316 次观看 • 2 个月前
没有更多内容可加载