Tanzania Startup Association's banner
Tanzania Startup Association's profile picture

Tanzania Startup Association

@TanzaniaSA9,480 subscribers

Advocating and lobbying for Tanzania with inclusive and conducive business environment for startup ecosystem.

Shorts

Tanzania Startup Association (TSA) inapenda kumpongeza Mh. Rais Samia Suluhu Hassan kwa hotuba ya salamu za mwaka mpya. Kwa hakika mwaka 2023 umekuwa wa mafanikio mengi na maendeleo kwenye sekta tofauti. Kwa kipekee kabisa tunaishukuru Serikali kwa kutambua umuhimu wa Startups na kwa ahadi ya kuendeleza ustawi wa sekta hii. TSA tunaahidi kutoa ushirikiano kwa Serikali na taasisi zake ili kufanikisha upatikanaji wa mazingira wezeshi kwa Startups nchini Tanzania. #TanzaniaStartupAssociation #TSA #TanzaniaStartups

45,019 次观看