
tpa_tz
@tpa_tz • 2,914 subscribers
The Tanzania Ports Authority (TPA) was established by the Ports Act No. 17 of 2004 as landlord Port Authority.
Videos

Chini ya uongozi wake Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, chachu ya kukua kwa chumi za nchi za Afrika Mashariki na Kusini zitatokana na ufanisi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania. Hivi ndivyo nasi uchumi wa nchi yetu, Tanzania, utakuwa kwa kasi. #Growth #IjueBandariYako
tpa_tz533,982 просмотров • 3 лет назад

Tunajivunia umahiri na ufanisi wa Manahodha wetu wa ndani. Juhudi zao kazini zinatoa mchango mkubwa na muhimu kwenye uendeshaji wa Bandari zetu. Uwekezaji thabiti utaongeza uhitaji wa wataalam wa meli nchini, wakiwemo Manahodha. #KnowledgeSharing #SkillSharing #ijuebandariyako
tpa_tz477,357 просмотров • 3 лет назад

Magari mengi unayokutana nayo barabarani, hapa nchini kwetu na nchi karibu zote zinazopakana na Tanzania, basi kwa asilimia kubwa yatakuwa yamepita kwenye mikono ya watu wetu Bandarini. Kwa sababu bandari yetu ya Dar Es Salaam, ndiyo bandari inayoongoza kwa kuingiza magari mengi zaidi Afrika Mashariki. Kwa uwekezaji thabiti, tunaamini tutafanya vyema zaidi katika sekta ya uingizaji wa magari Afrika Mashariki na Kusini. #KnowledgeSharing #SkillSharing #IjueBandariYako @WizarayaUJnaUC TASAC Msemaji Mkuu wa Serikali
tpa_tz94,684 просмотров • 3 лет назад
Больше нет контента для загрузки