
tpa_tz
@tpa_tz • 2,914 subscribers
The Tanzania Ports Authority (TPA) was established by the Ports Act No. 17 of 2004 as landlord Port Authority.
Videos

Tunajivunia umahiri na ufanisi wa Manahodha wetu wa ndani. Juhudi zao kazini zinatoa mchango mkubwa na muhimu kwenye uendeshaji wa Bandari zetu. Uwekezaji thabiti utaongeza uhitaji wa wataalam wa meli nchini, wakiwemo Manahodha. #KnowledgeSharing #SkillSharing #ijuebandariyako
tpa_tz477,357 次观看 • 3 年前

Magari mengi unayokutana nayo barabarani, hapa nchini kwetu na nchi karibu zote zinazopakana na Tanzania, basi kwa asilimia kubwa yatakuwa yamepita kwenye mikono ya watu wetu Bandarini. Kwa sababu bandari yetu ya Dar Es Salaam, ndiyo bandari inayoongoza kwa kuingiza magari mengi zaidi Afrika Mashariki. Kwa uwekezaji thabiti, tunaamini tutafanya vyema zaidi katika sekta ya uingizaji wa magari Afrika Mashariki na Kusini. #KnowledgeSharing #SkillSharing #IjueBandariYako @WizarayaUJnaUC TASAC Msemaji Mkuu wa Serikali
tpa_tz94,684 次观看 • 3 年前
没有更多内容可加载