
Truth WatchDog🇹🇿
@TruthWatchDogTZ • 30,787 subscribers
THREADS 🧵|| Political Analyst, unapologetically dissecting Tanzanian politics with a sharp tongue, Fearless critic, passionate advocate, Justice, Truth
Shorts
Videos

Kuna story imekuwa ikizunguka sana kuhusu kisa cha Baby Love na shoga yake Nice B, inasikitisha sana kwakuwa kisa hiki kimepelekea kifo cha kikatili cha Baby Love. Tukio hili limetokea nchini Haiti, ambako marafiki hawa wawili walio kutana Kwenye mtandao wa kijamii wa TIKTOK⤵️
Truth WatchDog🇹🇿97,178 görüntüleme • 18 gün önce

Huko ndiko walipo juliana na kuwa marafiki na hii ilipelekea Baby Love kupokea mwaliko kutoka kwa Nice B. Alichokosea ni kurekodi na kupost video ikionyesha mazingira ama life stlye ya Nice B. Nice B alikuwa ni Mtu wa kuroll na kundi hatari nchini Haiti,400 Mazowo na hao ndio ⤵️
Truth WatchDog🇹🇿47,398 görüntüleme • 18 gün önce

Just imagine unaoa bint kama huyu, unalalaje nje, unakulaje nje hapo hata Mchepuko simtaki 😁👇
Truth WatchDog🇹🇿69,586 görüntüleme • 28 gün önce
1:16
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Kuna watu wengine sio wa kuwka nao ubishi 😀👇 ona sasa watu wamefanya kweli huko
Truth WatchDog🇹🇿129,008 görüntüleme • 2 ay önce

Huyu Mzee Mpili ata pumzika kweli huko anako enda, sio kwa heka heka hizi😀
Truth WatchDog🇹🇿43,259 görüntüleme • 20 gün önce

Msaada Tutani, mwenye anajua dawa ya uhakika. Wataniua hawa wadudu👇
Truth WatchDog🇹🇿75,348 görüntüleme • 2 ay önce
0:40
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Sura ya Baba, Shepu ya Mama na Akili za Shagazi yake Mwajabu 🚮
Truth WatchDog🇹🇿52,909 görüntüleme • 1 ay önce

Vya kienyeji vipo kibao ukiamua kuchukua pasua kichwa ni shauri yako 😁👇
Truth WatchDog🇹🇿33,905 görüntüleme • 1 ay önce
1:56
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Omba sana Mungu akujaalie ufanikiwe ili uweze kuwatunza wazazi wako, Umaskini unadhalilisha.
Truth WatchDog🇹🇿72,833 görüntüleme • 3 ay önce

Cherry kamganda sana Dotto , muhimu jamaa azingatie ushauri wa Daktari tu
Truth WatchDog🇹🇿65,343 görüntüleme • 2 ay önce

Mashallah, Mmeona vile tunafaidi. Uislamu una ambatana na ibada😎
Truth WatchDog🇹🇿54,450 görüntüleme • 2 ay önce