
Twaha Mwaipaya
@Twaha_Mwaipaya • 325,682 subscribers
.Mratibu Wa Uhamasishaji Baraza la vijana wa chadema Taifa (BAVICHA) 2019-2025 Prison graduate 133 days in jail. Human rights defender.
Shorts
Videos

Kaka Mwaipaya habari, Kuna maiti ya Kijana wa KIUME imeokotwa ikiwa na majelaha mgongoni na shingoni, imeokotwa leo asubuhi Wilaya ya Temeke njia ya kutoka Mbagala Randi 3 kuelekea Kisemvule, Kama mtu atamtambua afike mochwari za TMK. Sasa hatuokoti pesa tunaokota maiti.
Twaha Mwaipaya63,828 views • 2 days ago

JANA TAREHE 19.8.2026 WALIMU 3O WAMEUA MWANAFUNZI KWA KIPIGO BUNDA. "Sisi wanafunzi wa shule Sekondari Makongoro, Wilaya ya Bunda, Mkoa wa Mara, tunaomba msaada kwa serikali kwa hali iliyompata mwenzetu Peter Kisumo Mahira, ambaye ameuawa kwa kupigwa fimbo na walimu wasiozidi 30" Naomba tuisaidie kushare hii post wanafunzi wapate haki
Twaha Mwaipaya21,432 views • 22 days ago

TAARIFA KAMILI YA KIJANA ALIEPIGWA NA POLISI KWENYE MSAFARA WA MWENGE. Tukio hili limetokea Kijiji cha Nkololo Kata ya NKOLOLO Wilaya ya BARIADI, Kijana mwendesha bodaboda aliepakia alizeti kwenye pikipiki yake aliingia barabarani kutoka barabara za mitaa inamaana alikuwa HAJUI kinachoendea njia Kuu alivyotokeza ghafla Polisi walimsimamisha kwa Kasi ikawa ngumu kusimama kwa haraka kama unavyojua vyombo vya Moto. Baada ya kusimama Polisi na mgambo wakaanza kumpiga hapo mchukua video amechukuwa wakati Kijana huyu ameshapigwa, Baada ya kipigo wakamwaga alizeti zake mtaroni kama inavyoonekana kwenye video. Kisa cha yote haya ni MSAFARA wa MWENGE kama unavyoona mwisho wa video hii inaonekana MSAFARA wa MWENGE unapita. Baada ya hapo Kijana huyu alikamatwa Mpaka sasa yupo kituo cha Polisi Nkololo. Kwa SASA nimempata MTU aliechukuwa video ya tukio nikamuomba video za ziada amenitumia. Baada ya tukio hili kusambaza mtandaoni Polisi wamemfuata mtu aliechukuwa video na kusema watamkomesha kwa SASA Kijana aliechukuwa video yupo katika mashaka makubwa, anahitaji Masada wetu aweze kuondoka kijijini hapo kuokoa maisha yake. Amenipatia namba yake kwaajili ya Msada wa dharula nimeshindwa kuiweka hapa Namba kwaajili ya usalama wake, kama kuna MTU anahitaji kumpa msaada wa haraka aje inbox. Pia tunaomba wanasheria wafuatilie ili dereva BODABODA aachiliwe huru Naomba tupate sauti Vijana hawa wawe salama. Twaha Mwaipaya mtetezi wa haki za binadamu
Twaha Mwaipaya32,470 views • 1 month ago

"Tuna Rais ambae ni Mzanzibar na sio mtanganyika" sikiliza Nondo za Tundu Lissu.
Twaha Mwaipaya438,521 views • 2 years ago

Msimamo wa chadema upo wazi kabisa na ni msimamo wa kamati kuu ya CHADEMA.
Twaha Mwaipaya31,598 views • 2 months ago
0:44
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Kada wa CCM Kazungu Bakari ametekwa na kuumizwa vibaya, kwasababu ya kuikosoa Serikali haramu ya Samia. Mimi KAZUNGU BAKARI kada wa CCM NILIPOST KUWA WATU WASIMCHAFUE MAKAMU WA RAIS LAKINI MATOKEO YAKE NIKATEKWA NA KUFANYIWA UNYAMA HUU NIMETESWA SANA. NAOMBA MUNGU AILINDE NCHI YETU...SIKUFIKIRI KAMA NITAFANYIWA UNYAMA HUU MAUMIVU NI MAKALI SANA SIJAPATA KUYAONA... MUNGU MWEMA AMJAALIE RAIS WETU AYAONE HAYA KATIKA JICHO LA TATU
Twaha Mwaipaya18,637 views • 1 month ago

Kada wa CCM Kazungu alietekwa na kuumizwa vibaya amezungumza kwa mara ya kwanza tangu atekwe "Pingu SIO ishara ya POLISI tena usimuamini MTU mwenye Pingu ukadhani ni Polisi" maneno ya Kazungu Kazungu kaomba msaada wa matibabu tumshike mkono namba ipo kwenye video yake.
Twaha Mwaipaya14,917 views • 26 days ago
0:45
Sensitive content
This media may contain sensitive content.