Twaha Mwaipaya's banner
Twaha Mwaipaya's profile picture

Twaha Mwaipaya

@Twaha_Mwaipaya325,682 subscribers

.Mratibu Wa Uhamasishaji Baraza la vijana wa chadema Taifa (BAVICHA) 2019-2025 Prison graduate 133 days in jail. Human rights defender.

Shorts

"Jambo moja la kuwambia watanzania pambaneni mpate Katiba Mpya" Emanuel Nchimbi

"Jambo moja la kuwambia watanzania pambaneni mpate Katiba Mpya" Emanuel Nchimbi

18,563 просмотров

Mashaidi wa Tundu Lissu wanajiandaa KUTOA ushahidi wao mahakamani. John Heche John Mnyika Amani Golugwa Na Brenda Rupia Fuatilia Live update mahakamani Bonyeza link

Mashaidi wa Tundu Lissu wanajiandaa KUTOA ushahidi wao mahakamani. John Heche John Mnyika Amani Golugwa Na Brenda Rupia Fuatilia Live update mahakamani Bonyeza link

12,979 просмотров

LISSU: Heche ongeza Moto wameanza kutoana maini HECHE: Sawa Sawa

LISSU: Heche ongeza Moto wameanza kutoana maini HECHE: Sawa Sawa

11,589 просмотров

Waandishi wa habari wa Digital Media wameitwa Ikulu kupangwa na kupewa mkakati wa kuanza kampeni ya kupost contents za kukataa maandamano ya December.Hapo wako kwenye foleni ya Chai. Acheni huu ujinga Mara moja, sasa hivi hata mkijamba tunaambiwa.

64,994 просмотров

Leo kazi ipo Mh. Tundu Lissu ameingia mahakamani na shehena la nyaraka.

Leo kazi ipo Mh. Tundu Lissu ameingia mahakamani na shehena la nyaraka.

25,673 просмотров

Huyu kijana anaitwa Juma alipigwa risasi na polisi wakatokomea na mwili wake mpaka leo mama yake hajampata mwanae. #D9

Huyu kijana anaitwa Juma alipigwa risasi na polisi wakatokomea na mwili wake mpaka leo mama yake hajampata mwanae. #D9

31,552 просмотров

Mama atamaliza tatizo hili usijali.

Mama atamaliza tatizo hili usijali.

47,723 просмотров

Chuma kimeingia mahakamani na mzuka sana leo, kazi wanayo.

Sensitive content

Chuma kimeingia mahakamani na mzuka sana leo, kazi wanayo.

16,930 просмотров

HABARI ZENU TUOKOE MGUU WA SHUJAA HUYU. Kijana huyu alipigwa risasi ya mguu tarehe 29 October, anawatoto na mke yeye ndio tegemezi, tumshike mkono shujaa wetu tuma mchango wako kwenda namba 0715444064 Tigo jina Nazareth Mwaijande, Tusiruhusu mguu uoze, wao wana risasi Sisi tuna nguvu ya umma tumtibu mwenzetu.

14,039 просмотров

Videos

Twaha_Mwaipaya's profile picture

"Wee Brenda wee wembaya sana wee" Tundu Lissu

Twaha Mwaipaya

30,441 просмотров • 3 дней назад

Twaha_Mwaipaya's profile picture

TAARIFA KAMILI YA KIJANA ALIEPIGWA NA POLISI KWENYE MSAFARA WA MWENGE. Tukio hili limetokea Kijiji cha Nkololo Kata ya NKOLOLO Wilaya ya BARIADI, Kijana mwendesha bodaboda aliepakia alizeti kwenye pikipiki yake aliingia barabarani kutoka barabara za mitaa inamaana alikuwa HAJUI kinachoendea njia Kuu alivyotokeza ghafla Polisi walimsimamisha kwa Kasi ikawa ngumu kusimama kwa haraka kama unavyojua vyombo vya Moto. Baada ya kusimama Polisi na mgambo wakaanza kumpiga hapo mchukua video amechukuwa wakati Kijana huyu ameshapigwa, Baada ya kipigo wakamwaga alizeti zake mtaroni kama inavyoonekana kwenye video. Kisa cha yote haya ni MSAFARA wa MWENGE kama unavyoona mwisho wa video hii inaonekana MSAFARA wa MWENGE unapita. Baada ya hapo Kijana huyu alikamatwa Mpaka sasa yupo kituo cha Polisi Nkololo. Kwa SASA nimempata MTU aliechukuwa video ya tukio nikamuomba video za ziada amenitumia. Baada ya tukio hili kusambaza mtandaoni Polisi wamemfuata mtu aliechukuwa video na kusema watamkomesha kwa SASA Kijana aliechukuwa video yupo katika mashaka makubwa, anahitaji Masada wetu aweze kuondoka kijijini hapo kuokoa maisha yake. Amenipatia namba yake kwaajili ya Msada wa dharula nimeshindwa kuiweka hapa Namba kwaajili ya usalama wake, kama kuna MTU anahitaji kumpa msaada wa haraka aje inbox. Pia tunaomba wanasheria wafuatilie ili dereva BODABODA aachiliwe huru Naomba tupate sauti Vijana hawa wawe salama. Twaha Mwaipaya mtetezi wa haki za binadamu

Twaha Mwaipaya

32,470 просмотров • 1 месяц назад

Twaha_Mwaipaya's profile picture

UJUMBE WA KANALI AUGUSTINO POLEPOLE LEO 27.11.2025.

Twaha Mwaipaya

177,624 просмотров • 9 месяцев назад

Huyu ni Mh. Tundu Lissu akipigania uhai wake, mtu kama huyu unamuweka Gerezani mwaka mzima tukisema Samia ni MUUAJI hata shetani anaunga mkono.
0:45

Sensitive content

This media may contain sensitive content.