Webiro Wakazi Wassira #TheLeader's banner
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader's profile picture

Webiro Wakazi Wassira #TheLeader

@Wakazi255,007 subscribers

Artist | Activist | Actor | Hip Hop Connoisseur | Content Creator | Politician | Workethic | 1/4 of SSK | [email protected] | Link: https://t.co/QgttN8fCtU

Shorts

MSIGWA KAISHIWA PAWA PRESS HAIELEWEKI; umeita LOCAL MEDIA kuongelea INTERNATIONAL MEDIA, alafu unalilia WATALII, kisha unaanza PROPAGANDA. Hii ni Dalili KUELEKEA KIBLA. Unataka Media zifanye kazi kwa “Uwazi, Haki na Uwajibikaji”? Michael Jackson aliimba, STARTING WITH MAN ON THE MIRROR, akimaanisha inabidi uanze wewe. Serikali mnafanya mambo kwa “Siri, Udhalimu, Kutowajibika” alafu leo mnahubiri HAKI na MMEUA WALIO ILILIA HAKI? Unatoa wapi UHALALI kutamka UWAZI na UWAJIBIKAJI, wakati hadi leo mmeshindwa tamka MAUAJI, fariji WAFIWA? ZERO EMPATHY! Mnaongelea UHARIBIFU WA MALI. Tume inachuguza NGO badala ya VIFO na MATUMIZI YA RISASI ZA MOTO! Unajisifia umesoma JOURNALISM. Mimi sijasomea, ila mjomba RUDI DARASANI! Journalism Ethics zinaruhusu in Investigative Journalism TO HIDE YOUR SOURCES. Unashangaa CNN kuficha Identity ya NESI? How Ironic for you to say that, na Serikali yako inajaribu kuleta “SHAHIDI WA SIRI” kwenye Kesi ya UHAINI ya TUNDU LISSU. Na hapo Lissu hajaua mtu ka nyie mlioua WATOTO WA KITANZANIA. Kwanini NESI asiogope ku-reveal Identity na nyie mmeua MADAKTARI wakitoka SHIFT YA USIKU? Na sasa hivi Nurses na Morticians wanakamatwa kuhusu video za Mochwari… Waliofanya Uchunguzi waupeleke Tume? Tume imeundwa na SUSPECT na kuipa HADIDU ZA REJEA POTOFU, ndio tuipelekee Uchunguzi, ILI IWEJE? Tume mmeipa Maelekezo ya Kuchunguza “Vijana wanataka Haki gani” na “NGO zilizowalipa” wakati Raia wanataka Majibu na Uwajibikaji wa Nani aliwaua Ndugu zao, na kwanini Miili yao haionekani! Unasema Watanzania wanataka AMANI? Mtanzania gani huyo kakwambia hivyo? Wote wameniambia wanataka: Haki, Maiti Zao, Uwajibikaji, Katiba Mpya, Uchaguzi Mpya, Lissu, Wasiojulikana, Ajira, Tume Huru, Niffer, Mdude, Soka, Polepole, Mwandambo, Haki za Ali Kibao, SamiaMustGo, Free Press, Makanisa ya Gwajima, nk. Girishoni, You’re out of touch! Mitandaoni ni WAJANJA WACHACHE? Hivi hauoni aibu kuzidiwa USHAWISHI na WAJANJA 20 kufanya Serikali kuua Raia Wasio na Hatia zaidi ya 1000, including Wajawazito, Watoto, Mawakili na Madaktari? Eti “tunawaletea MFUKO WA WANAHABARI, Mpate Mikopo kama WASANII.” Yaani huna AIBU unahonga media (BUYING ALLEGIANCE) kwenye Press? Na huo Mfuko wa Wasanii haujaenda kwa Wasanii wenye uhitaji bali CHAWA WENU. You have proved your INCOMPETENCE and being an ACCOMPLICE of the CRIMINAL CABAL of the ILLEGITIMATE GOVERNMENT, way you keep blatantly lying to Us. ICC Bound… SHAME ON YOU GIRISHONI “Akili za kuambiwa changanya na Zako”.. Sisi hatusikilizi mnachotuambia… ZETU ZATUTOSHA The Leader

66,327 просмотров

Wahuni wanataka ngumu, nyimbo nyepesi zinawakera Na ughaibuni, nai-MISS TANZANIA kama Tracy Nabukeera Ila after this, sina kesi na Masela, back ku-trace hela Fanya ya maana, toa dhamana, Wana wasi face jela CROOKED CROWN 👑 NOW Available on Boomplay:

57,507 просмотров

SASA MWAKINYO HIYO TSHIRT INA MAANA GANI? 🤷🏾‍♂️ Huwezi sema unasimamia HAKI, UTU na DEMOKRASIA kisa umeweka picha ya LISSU mgongoni, huku kifuani kuna picha ya MWIZI na MUUWAJI anayeitwa SAMIA. Unless umewaweka kama Wenyeviti wa CCM na CHADEMA na kuonyesha ”UPO NEUTRAL” POLITICALLY. Bahati mbaya tulipofika hakuna tena nafasi ya UCHAMA wala UCHAWA. Tupo kwenye UTAIFA au USALITI. Sijui QUR’ANI TUKUFU inasemaje, ila BIBLIA TAKATIFU (Ufunuo wa Yohana 3:17), imetuonya kuhusu kuwa VUGUVUGU; chagua moja MOTO au BARIDI! Kwenye press yako ya miezi iliyopita ulisema Utapigana kama Lissu, “unajitetea huku ukiwafunza watu boxing” ukijifananisha na TUNDU LISSU anavyojitetea Mahakamani na kuifunza jamii SHERIA, huku aki-EXPOSE Mhimili ambao dhahiri upo COMPROMISED. Kuvaa Picha ya Samia, ni kutaka uwe Neutral, uwe Vuguvugu na falsely APOLITICAL! Na mbaya zaidi ni kuwa TUSI waliofiwa, waliozika viatu na nguo, waliopo magerezani, na waliotekwa na haijulikani walipo, MAANA ulikuwa umeanza kuonekana ni TASWIRA YA MATUMAINI. Kumbe ni COMMERCIAL ACTIVIST! Najua pengine umeminywa na “Kitengo”, Polisi au “Watoto Wa Mama” au NJAA imefanya u-COMPROMISE ujumbe uliotaka utoa. Au Umenunuliwa na MECHI IMENUNULIWA, alafu umetumika kama alama ya “Umoja Feki” katika ujinga wao huo wa MARIDHIANO. My educated guess makes me believe that is the case.. SAY IT AIN’T SO? Maana mechi yenyewe mmh smh! Ukiamua Kupambana na Kusimama kwenye HAKI, inabidi uwe tayari KUPOTEZA KILA KITU. USIRUHUSU NJAA IKAFANYA UUZE MATUMAINI YA MAMILIONI. MUHAMMAD ALI (The Greatest Boxer Of All Time) aliigomea Serikali ya Marekani kumpeleka VIETNAM kwenye Vita. Akadai Wavietnam hawajamkosea kitu so hawezi shiriki kuwapiga, na dini yake ya KIISLAMU ni ya Haki haimruhusu kuonea watu. Muhammad Ali akanyang’anywa LESENI ya Kupigana na akafungiwa kupigana Marekani na Akanyang’anywa MIKANDA. Ndio Maana akaja kupigana Zaire/DRC (Rumble In The Jungle) na Ufilipino (Thriller In Manila). MUDDY NI LEGEND HADI ANAKUFA Kama kweli wewe ni Champion, basi be CHAMPION OF THE PEOPLE, na tumia nafasi yako kuwakilisha SAUTI ZAO ZISIZOSIKIKA, badala ya kukubali kutumika KUWASAFISHA (SANITIZE) hao wanaonuka DAMU ZA WATOTO WA KITANGANYIKA. I am disappointed, and let down… and I think you have betrayed the people!! You owe them a “plausible explanation” ila najua HAUNA! The Leader

22,626 просмотров

Videos

Wakazi's profile picture

BONGOSTAR SEARCH: HII HAPANA Hatuwezi kukuza VIPAJI VIPYA kama tutakuwa tunavi HUMILIATE, MISTREAT & UNDERMINE kwa this type of unfair judging & condescending approach. Huyu Binti anaimba, rap, na ni bilingual mwenye personality na exposure ya ulaya. Hizo ni Taarifa ambazo amezitoa ndani ya sekunde 20 za mwanzo; zilitosha kwa yeye kupewa BENEFIT OF DOUBT, na hata namna ya ku-engage nae ingeweza kuwa friendlier na yenye way more entertaining content than kum-shutdown hivi! IKUMBUKWE; Washiriki ni AMATEURS na WAKO NERVOUS. Unaweza kuwa INDIFFERENT & UNBIASED as a JUDGE ila sio kuwa CRUEL; you can KILL THEIR CONFIDENCE na hata kama anajua akafanya BAD PERFORMANCE. Ndio maana WAZOEFU humfanya Mshiriki a-relax, kumsifia alivyovaa, kumuuliza nini anaimba, kum-wish goodluck, ili a calm down kabla ya kuperform. MFANO mimi kama Judge, ningemtania kuhusu BRITISH ACCENT yake, au ningemuuliza LONDON alikuwa anafanya nini, etc. Way BETTER CONTENT for THE AUDIENCE. Alafu disqualification yake ni kuwa SAUTI IKO CHINI, Really? Hicho si ni kielelezo tosha kuwa SHE IS NERVOUS? 🤷🏾‍♂️ Mimi nimemsikia kuimba anajua (hajakosea kitu), na angeruhusiwa 5-7 more seconds ambapo wimbo ulikuwa unaenda ku-TRANSITION, ndio tungejua uwezo wake zaidi. Na hivyo hivyo kwenye ku-rap, ame-rhyme, ameflow na amekaa kwenye pocket; Mashairi yake kweli ni Explicit ila sio kiiivyo. Hata kina SIMON COWELL, wakiona RAW POTENTIAL, ila iko nervous, huwa wanasimamisha encourage them, then wanawapa second chance, na sio kuwa dismiss. Na mtu wa hivyo DEVELOPMENT & GROWTH ARC yake inaenda as anaendelea kuwepo kwenye Shindano na pia inawapa Audience nafasi ya ku-fall in love with Washiriki. Mimi, WAKAZI, as a former judge wa UNITALENT SHOW, huyo dada ANAJUA KUIMBA; anaimba kwa Mix ya “HEAD & CHEST VOICE” na LOWER REGISTER MEZZO ALTO ndio her VOICE TYPE. ANAWEZA KU-RAP pia na Content yake inashabihiana na Female Rappers wa kisasa (Meg The Stallion, Sexy Red, Latto) so hiyo VERSATILITY yake ni golden. Ana PERSONALITY and Particular SENSE OF FASHION with GOOD COMMUNICATION SKILLS (English & Swahili). Na hizo zote ndio QUALITIES ZA KUTENGENEZA A STAR. You can do better… The Leader

Webiro Wakazi Wassira #TheLeader

140,515 просмотров • 1 месяц назад

Wakazi's profile picture

LACK OF EXPOSURE INAWA EXPOSE WATAWALA HARAMU Yaani Rais KILAZA, Aliyeandika Speech KILAZA, Mshauri wake (wa kumwambia atumie issue ya Mafuta as topic) ni KILAZA, Aliyepenyeza “Kimemo” (sijui ni Usalama Wa Taifa au Msaidizi au GIRISHONI) nae KILAZA!! 😫☹️ Unafanyaje DIRECT COMPARISON ya bei za Mafuta, na Nchi ambazo zina PURCHASING POWER PARITY ya matrillioni, na pia kuna CURRENCY DISPARITY ya 1:2600 (U$D), 1:3000 (Euro) and even 1:20 (KTsh) ?! Marekani state maskini kuliko zote mshahara kima cha chini ni $8 kwa Saa ($64 kwa siku) na jimbo hilo mafuta ni $3 kwa Gallon (so kwa liter ni $0.75 au Tsh 1875). Mshahara Wa Maskini wa Siku wa 160,000, na Mafuta lita 1875. Wewe Daktari unamlipa laki 9 kwa mwezi (yaani 30,000 kwa siku) alafu unajisifia kumuuzia mafuta kwa Tsh 3800 🤷🏾‍♂️ Alafu unatoa takwimu za Uongo, na anayekusahihisha nae anatudanganya pia. Mmeharibu THAMANI YA HELA yetu, kiasi kwamba senti hazina thamani. Marekani ukiona 8.00 sio mia nane, bali ni dola 8; hizo sifuri ni za SENTI!! Pia hamjui tofauti ya METRIC SYSTEM (Litre, Kilo, Meter, Centimeter) na IMPERIAL SYSTEM (Ounce, Gallon, Pound, Inches). MSIGWA anakuja kutwambia bei ya Mafuta kwa Tani.. Kitu cha UJAZO anapima UZITO. Kazi ya Viongozi ni kuleta ahueni kwa Wananchi, ila nyie HARAMU tunajua mpo kwa maslahi yenu binafsi ndio maana unatetea kutopunguza kodi kwa hoja na takwimu za mtu ambae hajaenda shule, hana exposure, na anayepiga Siasa/Propaganda. Tokeni hapa… HAMUWEZI KUTUDANGANYA, MTAJUTA KUTUSOMESHA! The Leader

Webiro Wakazi Wassira #TheLeader

57,935 просмотров • 2 месяцев назад

Wakazi's profile picture

HADIDU ZA REJEA: MAMA WA KAMBO ANAJIZIMA DATA Tumeshakubaliana kuwa yeye ni “Illegimate President”, na pia Tume yake ni ILLEGITIMATE: ina CONFLICT OF INTEREST, pia yeye sio Legit hivyo hana mamlaka kisheria kuunda Tume. Anatakiwa a STEP DOWN, asubiri TUME ZA KIMATAIFA zilizoafikiwa na WANANCHI zifanye kazi. BUT for argument sake, tufanye ni sawa Tume ndio hiyo. Kweli hizo ndio TERMS OF REFERENCE (Hadidu za Rejea) za kufanyia uchunguzi wa “Kilichotokea”?! Nani kamwambia Tunachunguza VURUGU sisi? Hujui Sababu za Raia (Maana sio Vijana tu) kuandamana? Kweli Watu wamepigwa risasi wewe unataka kuchunguza NGOs? WATU WAMELIPWA? Jamani waliofanya Fundraiser si ni CCM na wakapata karibia BILLION 100 za michango. Mmeandika ILANI ambayo haijui Malalamiko ya Wananchi, alafu unashangaa why HATUWATAKI Familia ya Deusdetius Soka inahitaji Kulipwa Kuandamana? Familia ya Marehemu Ali Kibao Inahitaji kulipwa Kuandamana? Waumini Wa Gwajima walioporwa Haki ya Kuabudu wanahitaji Kulipwa Kuandamana? Wananchi milioni 6 waliompigia Kura Tundu Lissu mwaka 2020 walioona anapewa KESI YA UHAINI kisa amedai Reforms, wanahitaji Kulipwa kuandamana? Wafuasi wa Luhaga Mpina walioshuhudia anakatwa kama Mgombea, wanahitaji kulipwa Kuandamana? Vijana waliosoma na Wasio na Ajira na Wenye Njaa, ambao wameshuhudia Vigogo na Watoto wao wanavyofuja Mali za Taifa lao, wanahitaji kulipwa Kuandamana? Wafuasi wa Polepole wanahitaji Kulipwa Kuandamana? Familia na Mashabiki wa Roma Mkatoliki, Sativa, Tito Magoti, Eric Kabendera, Abdul Nondo, etc wanahitaji kulipwa kuandamana? STOP INSULTING OUR INTELLIGENCE!! Sasa hiyo ni Tume ya Uchunguzi kweli? Mbona ni kama Mmeshafanya Uchunguzi wenu na Mnawapa Maelekezo ya nini wafanye!! Sisi tunataka TUME HURU ZA KIMATAIFA zichunguze WIZI WA UCHAGUZI, na MAUAJI YA HALAIKI YA VYOMBO VYA DOLA. Kama kutakuwa na wajumbe wa Ndani basi Wawe ambao Wanachi tutawaafiki (wasio na INTEREST nor ULTERIOR MOTIVES) Najua Mnajizima Data maana wenyewe mnanusa mwisho wenu, ila kazi itafanyika hata offline… The Leader

Webiro Wakazi Wassira #TheLeader

83,733 просмотров • 7 месяцев назад

Wakazi's profile picture

FANYENI REHEARSAL KAMA MNATAKA KUIMBA LIVE…!! Otherwise, just accept kubakia “studio artists” tu. Badala ya kuwekeza kwenye nguo, magari, mabodyguard, fake chains & fake views, hebu; • Fanyeni rehearsal 1-2 weekly, hata kama hamna show. • Mkienda gym fanyeni Cardio badala ya weightlifting • Lipeni WAPIGA BENDI vizuri, na hela unazitunzwa wape kama Bonus • Fanya rehearsal na bendi sio unawapa nyimbo wewe hutokei • Sikiliza mawazo ya wapiga bendi, kuwa nao kitu kimoja na sio ujione wewe unawaamrisha tu • Study show za wakali wengine, ujifunze some techniques za kuboresha show yako • Kwenye rehearsal, fanya kila kitu ambacho unatarajia kufanya kwenye show. Kama uta dance, basi dance pia huku una practice • Train your breath control, ukifanya cardio uwe unaimba pia ili ujue maeneo yaku pause, na kujifunza pacing (kulingana na performance time) • Sahau kuhusu “Hit Song” yako. Unapofanya live, technically ni kama unafanya kitu kipya. So mambo ya kuimba neno alafu unanyamaza mashabiki wamalizie, linakufanya huonekane huwezi live… IMBA • Tambua audience; sio kila hadhira iko familiar na nyimbo zako hata kama ziliwahi ku-hit… mfano awards za kimataifa zinaangaliwa na watu ambao sio mashabiki wako, na pia wanaangalia kupitia TV. Sasa wewe ukiwa unanyamaza eti mashabiki waitikie, potential new fans wanaona hujui au umesahau mistari huku kwenye TV. • Ukitaka kuimba ki superstar kwa kunyamaza nyamaza, basi kuwa na strong BVs (Back Vocalists) ambao ume practice nao vya kutosha Mwenye masikio na asikie! Dancers, Mataa, Nguo, Moshi au Cheche za stage hazitoweza kukuokoa wala kuficha udhaifu wako The Leader.

Webiro Wakazi Wassira #TheLeader

128,545 просмотров • 1 год назад

Wakazi's profile picture

MSIGWA KAISHIWA PAWA PRESS HAIELEWEKI; umeita LOCAL MEDIA kuongelea INTERNATIONAL MEDIA, alafu unalilia WATALII, kisha unaanza PROPAGANDA. Hii ni Dalili KUELEKEA KIBLA. Unataka Media zifanye kazi kwa “Uwazi, Haki na Uwajibikaji”? Michael Jackson aliimba, STARTING WITH MAN ON THE MIRROR, akimaanisha inabidi uanze wewe. Serikali mnafanya mambo kwa “Siri, Udhalimu, Kutowajibika” alafu leo mnahubiri HAKI na MMEUA WALIO ILILIA HAKI? Unatoa wapi UHALALI kutamka UWAZI na UWAJIBIKAJI, wakati hadi leo mmeshindwa tamka MAUAJI, fariji WAFIWA? ZERO EMPATHY! Mnaongelea UHARIBIFU WA MALI. Tume inachuguza NGO badala ya VIFO na MATUMIZI YA RISASI ZA MOTO! Unajisifia umesoma JOURNALISM. Mimi sijasomea, ila mjomba RUDI DARASANI! Journalism Ethics zinaruhusu in Investigative Journalism TO HIDE YOUR SOURCES. Unashangaa CNN kuficha Identity ya NESI? How Ironic for you to say that, na Serikali yako inajaribu kuleta “SHAHIDI WA SIRI” kwenye Kesi ya UHAINI ya TUNDU LISSU. Na hapo Lissu hajaua mtu ka nyie mlioua WATOTO WA KITANZANIA. Kwanini NESI asiogope ku-reveal Identity na nyie mmeua MADAKTARI wakitoka SHIFT YA USIKU? Na sasa hivi Nurses na Morticians wanakamatwa kuhusu video za Mochwari… Waliofanya Uchunguzi waupeleke Tume? Tume imeundwa na SUSPECT na kuipa HADIDU ZA REJEA POTOFU, ndio tuipelekee Uchunguzi, ILI IWEJE? Tume mmeipa Maelekezo ya Kuchunguza “Vijana wanataka Haki gani” na “NGO zilizowalipa” wakati Raia wanataka Majibu na Uwajibikaji wa Nani aliwaua Ndugu zao, na kwanini Miili yao haionekani! Unasema Watanzania wanataka AMANI? Mtanzania gani huyo kakwambia hivyo? Wote wameniambia wanataka: Haki, Maiti Zao, Uwajibikaji, Katiba Mpya, Uchaguzi Mpya, Lissu, Wasiojulikana, Ajira, Tume Huru, Niffer, Mdude, Soka, Polepole, Mwandambo, Haki za Ali Kibao, SamiaMustGo, Free Press, Makanisa ya Gwajima, nk. Girishoni, You’re out of touch! Mitandaoni ni WAJANJA WACHACHE? Hivi hauoni aibu kuzidiwa USHAWISHI na WAJANJA 20 kufanya Serikali kuua Raia Wasio na Hatia zaidi ya 1000, including Wajawazito, Watoto, Mawakili na Madaktari? Eti “tunawaletea MFUKO WA WANAHABARI, Mpate Mikopo kama WASANII.” Yaani huna AIBU unahonga media (BUYING ALLEGIANCE) kwenye Press? Na huo Mfuko wa Wasanii haujaenda kwa Wasanii wenye uhitaji bali CHAWA WENU. You have proved your INCOMPETENCE and being an ACCOMPLICE of the CRIMINAL CABAL of the ILLEGITIMATE GOVERNMENT, way you keep blatantly lying to Us. ICC Bound… SHAME ON YOU GIRISHONI “Akili za kuambiwa changanya na Zako”.. Sisi hatusikilizi mnachotuambia… ZETU ZATUTOSHA The Leader

Webiro Wakazi Wassira #TheLeader

66,327 просмотров • 7 месяцев назад

Wakazi's profile picture

ONENI MAMA YENU (Part One) Yaani SAMIA anaongea kwa kujiamini kabisa kuwa alikuwa anapanga na RUTO jinsi ya kuwapiga na kuwanyamazisha GEN Z sababu wana demand DEMOCRACY, MAENDELEO, AJIRA, UTAWALA BORA na UWAJIBIKAJI. Sababu wao, SERIKALI HARAMU, hawapo tayari kutekeleza hayo, basi wanawageuza Gen Z kuwa MAADUI. Hivi wewe ”Kibibi Yaga” unajua Gen Z ni Watu Wazima? Gen Z wana miaka 15 hadi 30. Ikimaanisha uchaguzi uliopita asilimia 75% ya Gen Z walikuwa Wapiga Kura!! Uchaguzi ujao the youngest Gen Z atakuwa 19 yrs old na kufanya 100% ya Gen Z kuwa Wapiga Kura. They have CIVIC RIGHTS za Kuhoji na Kuwawajibisha. Kwahiyo umeamua kuwa DICTATOR ? Maana KATIBA YA NCHI inasema POWER ya Serikali itatoka kwa Wananchi. Mtanadi sera then tutapiga kura kuchagua tunaowaamini watatusaidia tunachotaka, na MAJORITY WINS. Tukiona hamtekelezi tuna haki ya KUSEMA (Freedom of Expression) na pia tuna haki ya KUGOMA na KUANDAMANA (Right to Demonstrate). Hata Bunge nalo lina haki ya KUGOMA na Kupiga Kura kuondoa Serikali Madarakani kama haiendi na Mwenendo sahihi ambao Wananchi waliowatuma Wabunge, wanataka. Bunge linapiga kura (VOTE OF NO CONFIDENCE) na unaondolewa. Hiyo ndio DEMOKRASIA na sio whatever is in your head. Serikali ambayo hatujaichagua sisi ni HARAMU. Na mnavunja Katiba sio tu kwa kupora Madaraka, bali pia kuendelea kunyanyasa Wananchi. NYIE NI WAHALIFU… Wazungu wanasema MISERY LOVES COMPANY, kwamba umeshajinyea na sasa unataka Ruto akae na wewe ili mnuke wote. Sijui ni uswahili wa “KIFO CHA WENGI SHEREHE”. So unataka kupiga watu kisa wanakukera? tena Watu wazima wanaodai HAKI ZAO? Nasemaje, MTAJUTA KUTUSOMESHA The Leader

Webiro Wakazi Wassira #TheLeader

21,230 просмотров • 2 месяцев назад

Wakazi's profile picture

CRIMINALS CAN NOT INVESTIGATE THEMSELVES Mama Wa Kambo, hiyo Tume umeiunda wewe mwenyewe, ila haina uhalali wa kufanya hivyo. KWANZA SIO RAIS HALALI (Haujachaguliwa na democratic process) Pili, Wewe na Vyombo vya Dola ndio haswa wanapaswa kuchunguzwa, maana ndio the PRIME SUSPECTS wa kilichotokea nchini!! Watu hawajaridhishwa na utendaji wako, na vyombo vyako vya dola vimekuwa vikiteka, vikifira, vikipiga na kuua Raia na pia kuwanyanyasa Wanasiasa wa vyama vya Upinzani. Waliofikwa na Madhila hayo wana ndugu zao, na ndio walioghafirikwa hadi kuandamana. MAANDAMANO SIO UVUNJIFU WA AMANI, Bali again ni nyie nyie mlipoanza kutumia EXCESSIVE FORCE na hatimae hadi kuua Wananchi in intimidation HAPO NDIO MMEVUNJA AMANI!! Mkaanza kufata watu hadi majumbani, na kupiga watu risasi za mgongo (which is against RULES OF ENGAGEMENT let alone usage of Live Ammunitions) HUWEZI KUUNDA TUME ILI UJICHUNGUZE… Hii inaitwa CONFLICT OF INTEREST!! Nakumbuka kwenye Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi, wajumbe walitaka Utoke wao wajadili issue zinazo kuhusu ukagoma (huwezi ku-chair kikao ambacho wewe ni Mgombea). Nakumbuka 2015 Baba yangu Mdogo (Stephen Wasira) alikuwa Kamati Kuu ya CCM, na also alikuwa Mgombea Urais. Ilibidi yeye na Few Other Candidates Watoke kwenye kikao. IT IS LOGICAL. Besides, tumeona kwenye Tume Yako ya Mchongo umemuweka Aliyekuwa Waziri Wa Ulinzi during the Massacre, na ambae ni Kada wa CCM na alikuwa in your campaign. Na kila Mjumbe ni former SUBORDINATE wa Serikali za CCM. Tanzania nzima tumeikataa Tume yako, na hatutaki Tume Za Kimataifa tunazozitaka zijihusishe na Tume yako ya Mchongo kwa Chochote. That is TAMPERING, and it is LEADING… Unataka kuficha UHALIFU WAKO, Unapindisha maneno na Ukweli, na actively mnajaribu kuzika INCRIMINATING EVIDENCE against you and your fellow culprits. MMEANZA KUKAMATA MADAKTARI na BADO MNATEKA VIJANA. Your Evil Scheme will not succeed, na zaidi ni mnazidi tu kujipalia moto na ku-add charges to your already long criminal rap sheet. YOU ARE THE CRIMINAL & THE PRIME SUSPECT, YOU CANT INVESTIGATE YOURSELF, SO TUME YAKO NI BATILI… HATUITAKI NA HATUITAMBUI KAMA AMBAVYO HATUKUTAMBUI WEWE NA SERIKALI YAKO BATILI The Leader

Webiro Wakazi Wassira #TheLeader

41,780 просмотров • 7 месяцев назад

Wakazi's profile picture

MWISHO WA USALITI NI KIFO… NI SUALA LA MUDA TU Kwenye Movie ya SARAFINA, kulikuwa na Police mmoja mweusi (SABELA) ambae alikuwa anashirikiana na Makaburu kuwanyanyasa Wanafunzi. Isitoshe ndio alichonga mchongo hadi Mwalimu wa Sarafina, MISS MASEMBUCO anakakamatwa na kuuliwa na Polisi. Walivyokuja kumgundua, wakamuibukia usiku wakazingira nyumba yake kumwambia atoke, alivyogoma wakaiwasha moto! Alivyotaka toroka wakamzingira akala kipigo na mwisho wakamchoma moto. scene ya mwisho baada ya kipigo alivyoinua macho akamuona Sarafina ambae pengine angeweza kuwaambia machizi wasimuue ila alijua kabisa hawezi pata msamaha maana amesababisha Mwalimu wake kauwawa. Usaliti ni kitu kibaya sana, na Wewe unavyokuwa unasaliti unaona uko sawa sababu una enjoy benefits unazopewa na WATESI wa Wananchi, unajiona SAFE! But When THE TABLES TURN, like they always do, inakuwaga too late. Bora upige kimya tu kama wewe ni Benefactor, badala ya kukejeli Wanaharakati, kuwatusi au kusambaza Propaganda ili uwafurahishe ma boss wenu. KUMBUKA, SARAFINA SIO MOVIE, NI TRUE STORY, wakati wa kipindi cha Ubaguzi wa Rangi (APARTHEID) in South Africa, ambapo Wanafunzi 176 waliuwawa kwa silaha za Moto huko SOWETO mwaka 1976. Tanzania nawaona WASALITI na MACHAWA, na WACHUMIA TUMBO (Waandishi uchwara) wakileta shobo and poking their heads out thinking shit is sweet. IT IS NOT UNTIL JUSTICE IS SERVED, The Leader P.S I dont own rights to the clip (Sarafina 1992). It is used for educational purposes only

Webiro Wakazi Wassira #TheLeader

33,211 просмотров • 7 месяцев назад

SIKU ZA MWIZI NI 40: NOW WHAT?! Kwa tukio lililomtokea msaidizi wa Tundu Lissu, kuna mtu yeyote ana doubt juu ya WATEKAJI na WASIOJULIKANA ni kina nani? Kwa namna Polisi wa Mbweni na Mapinga walivyo handle ripoti za tukio walivyozipokea, kuna mtu ana doubt juu ya USHIRIKA WAO kwenye utekaji na kupotosha ukweli? Tendo la Watekaji kukimbilia eneo ya Usalama wa Taifa, kisha kwa kujiamini na kuanza kupiga risasi upande wa Wananchi, kuna mtu yeyote ana doubt USHIRIKI wa USALAMA? Vyombo vya Ulinzi na Usalama kwa kawaida huwa vinaundwa na watu wenye AKILI, na wanaotumia Akili na sio MABAVU; Ndio sababu vinaitwa INTELLIGENCE AGENCIES. Ila the minute you use FORCE, unaanza kufanya kazi isiyo na efficiency, na hatimae wanaanza kutoa maboko hadi wanajianika hadharani. Na Wananchi toka mmeanza kuwapiga risasi, hamkuwaza kuwa watazoea na wataanza kuwa HAWAOGOPI, na watawafukuza hadi mwisho muendapo… Tunaomba JAJI CHANDE akaongeze hii Story ya Djumbe, kuwa alitekwa sababu ya Mapenzi na Ushirikina na Akapigwa nusura kufa na kufungwa pingu. Kaongeze hii kwenye hiyo ripoti ya Mama Wa Kambo! CCM na SERIKALI YENU HARAMU nchi imewashinda, please ondokeni maana mnaanza kuhatarisha amani ya nchi yetu. TUMEWACHOKA, HATUWATAKI, HATUWATAMBUI Nina laani vikali Utekaji wa Djunbe, na naomba Watanzania wote tuwe on high alert ready to fight back kuanzia sasa, WATATUMALIZA tusipolindana. Pole kwa Djumbe, familia na marafiki walioathirika wakati wa tukio. Ila Pongezi za dhati kwa Bodaboda na Wananchi wengine waliosaidia kupambana na Watekaji hao. The Leader
1:29

Sensitive content

This media may contain sensitive content.

10,489 просмотров • 1 месяц назад

Wakazi's profile picture

Yote yalishasemwa… ROMA MKATOLIKI #TZHipHop

Webiro Wakazi Wassira #TheLeader

13,381 просмотров • 6 месяцев назад

Wakazi's profile picture

HII NDIO SABABU MICHEZO HAIKUI BONGO: SIASA NYINGI Huyo “Kiziro” MAKONDA anaenda kuongea na TAIFA STARS ili iweje? Kwanini tunaendekeza WANASIASA sana kwenye vitu hivi? Kwanza ni WAZIRI HARAMU, maana ametokana na SERIKALI HARAMU ya SAMIA ambae AMEIBA UCHAGUZI na kuidhinisha Maelfu ya Watoto wa Kitanganyika kuuwawa kwa SILAHA ZA MOTO ili yeye abaki Madarakani. Mataifa mengine, Wanaalikwa WACHEZAJI WA ZAMANI (Accomplished), Watu Mashuhuri Kihistoria waliowahi kabiliana na Ukinzani wakashinda, Wanajeshi wenye “Medals Of Honor”, Cancer Survivors, Makocha legendary, etc ili Wachezaji wawe INSPIRED. Sisi anaenda kuongea Mwanasiasa anayetafuta Legitimacy & Relevance, na inspiration yake ni “Mkishinda tunawapa Tsh MILLION 300” Clip hiyo SAMUEL ETO’O anaongea na kikosi cha Cameroon, na kuwaambia wacheze kwaajili ya Bendera ya Taifa na Pride ya Nchi, sisi tunawaambia vijana wetu tutawapa HELA!! Yaaani NJAA zetu (ambazo wao wao ndio wametupa) wanazitumia kama SILAHA kila wakitaka kutuchota akili na kutupumbaza. Sasa ukifanya Timu yako iwe inanunulika kirahisi hivyo, no loyalty, no integrity… inamaana akitokea mtu mwenye DAU KUBWA wanauza Mechi. 🤷🏾‍♂️ Million 300? ni sawa na Dola $125,000. Hiyo ilikuwa ni cheque ya One Week ya HASHEEM THABEET wakati anacheza NBA (I was there I saw it). Sasa team nzima ndio igawane hiyo… Alafu Waziri Mzima anasema kama vile ametaja bonge la hela. Na anapiga Siasa kabisa “tunaweza wawekea kwenye account kabisa, tubaki sisi kuwadai ushindi”. Tuna Ex-Players kibao ambao wanaweza kuwa good MENTORS wa Madogo, ila unakuta msafara huko wameenda Viongozi na Wanasiasa, na maswahiba zao kama sio Michepuko yao. BORESHENI VIWANGO VYA MCHEZO, MIUNDO MBINU, FACILITIES, TREATMENT na WALIMU, ili Soccer ikue kweli. Pia fundisheni madogo UZALENDO na THAMANI YA KUCHEZEA TAIFA, badala ya kuwa ENTICE na vihela mbuzi. Tatizo nyie wenyewe Uzalendo hamna ndio maana mnabagaza Katiba, Mnaua Watoto wa Wenzenu na kuwaweka Jela…. na ndio maana mnahangaika kuji sanitize na HELA ZA KUHONGA na SIASA ZA KITOTO. Hamna legit plans za long term, ni tia maji tia maji tu… hovyo kabisa! Btw, huyo Naibu Waziri, namuita Kiziro sababu alipiga Div 0 NECTA! Na pia Mipango yake daily huwaga inafeli… so ni dhahiri akili ndogo sana anatumiaga 🤓 The Leader

Webiro Wakazi Wassira #TheLeader

11,681 просмотров • 6 месяцев назад