
Wasafifm
@wasafifm • 169,280 subscribers
The official Twitter page for Wasafi FM Hii Ni Yetu Sote
Videos

MLINZI ALIGOMA KUFUNGUA UWANJA - RC MTANDA “Nilifikiria nikiagiza tu polisi wakaenda eneo la tukio bila mwenyewe kwenda kuangalia baadae inaweza ikaleta Shida Kama polisi watatekeleza majukumu yao bila weledi,” Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda. #WasafiSports
Wasafifm32,529 görüntüleme • 1 yıl önce

Kocha Mchezaji na Mtangazaji wa Kipindi cha Good Morning kutoka #Wasafifm Maulid Kitenge ameshangaa kutangazwa kwa tarehe ya Derby ya Kariakoo Juni 15 huku wahusika Mamlaka inayosimamia Mpira nchini TFF na Bodi ya Ligi zikishindwa kutoka hadharani na kueleza kadhia ya Machi 8 iliyosababisha mechi hiyo kuhairishwa. Kitenge anaamini Mamlaka ya mpira na Bodi ya Ligi zinapaswa kutoka hadharani na kuomba radhi kwa kadhia ya Machi 8 kabla ya kutangaza ratiba ya Mechi ya Derby Juni 15. #WasafiSports
Wasafifm24,398 görüntüleme • 1 yıl önce

𝐍𝐀𝐀𝐌𝐈𝐍𝐈 𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐈𝐓𝐀𝐅𝐀𝐍𝐘𝐀 𝐌𝐀𝐀𝐉𝐀𝐁𝐔 𝐌𝐎𝐑𝐎𝐂𝐂𝐎, 𝐇𝐀𝐈𝐓𝐎𝐅𝐔𝐍𝐆𝐖𝐀 𝟐,𝟑 𝐚𝐮 𝟒-𝟎 - Hansrafael “Mimi ni mmoja ya Watu wanaoamini Simba inaenda kufanya maajabu Morocco, siioni Simba ikienda kufungwa mabao ya aibu yaani 2, 3-0 au 4-0 kutokana na Mchezo wa kwanza walivyoweza kuidhibiti Wydad” Hansrafael WANGAPI WAANAMINI KAMA ANAVYOAMINI HANS? #KivumbiSokaLaNyumbani Sponsored by Tigo Tanzania Fuatilia MUBASHARA kipindi cha SPORTS ARENA muda huu kupitia YOUTUBE yetu ya WASAFI MEDIA. #KivumbiSokaLaNyumbani
Wasafifm12,517 görüntüleme • 3 yıl önce
Daha fazla içerik yok.