
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻♀️❣️
@zoetjesheeftX • 34,973 subscribers
professional chef-kok, I'm only responsible for what i say not for what you understand. * The right one will never let you go ° ᡣ𐭩 . ° .
Shorts
Videos

U.T.I ya hapa kupona labda umeze hospital 😂😂🙌
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻♀️❣️176,316 görüntüleme • 7 gün önce
3:46
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

‼️Huyu mama asaidiwe iangaliwe namna tu, nae akapate kitu chochote chakufanya na kujipatia riziki‼️ Ili aepukane nahizo kadhia anazokutananazo ili nayeye akiwezekana aje aitwe Mama bora ambae anafamilia inayomtegemea, kuliko kuhangaika na Mtoto mdogo asiye na hatia, Hii zaidi ya adhabu ✍️ Si wote waoiba Kwamba ni wezi kweli, wengine ugumu wa Maisha tu na Huyu achukuliwe Sheria stahiki maana hawezi kujichukulia Sheria mkononi.
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻♀️❣️76,332 görüntüleme • 6 gün önce

Hii inaumiza sana kama mtu sio ndugu yako ila kama ni ndugu inaumiza sana
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻♀️❣️143,594 görüntüleme • 15 gün önce
0:47
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Yaani mnawatesa watoto wa watu Aisee hii inasikitisha sana 🥲🥲🥲
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻♀️❣️38,101 görüntüleme • 6 gün önce

ALIJARIBU KUWEKA KWA MPARANGE AKANIKUTA MIMI NDIO KONK
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻♀️❣️37,435 görüntüleme • 9 gün önce

Kumbe wanaosema wanaume wananuka matako wanajiuza 😂 Ila kimeumana 😂😂
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻♀️❣️56,659 görüntüleme • 16 gün önce

Wewe kama umepata mume bora ni jambo la kumshukulu mungu
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻♀️❣️41,889 görüntüleme • 17 gün önce

Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Mwanga na Mjumbe wa Baraza Kuu la CHADEMA Taifa, Lembrus Mchome, ameibua maswali kuhusu tofauti ya hatua zinazochukuliwa dhidi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, na Makamu Mwenyekiti John Heche. Mchome amesema CHADEMA inalenga kuiondoa CCM madarakani kupitia mifumo ya kikatiba, hivyo chama kinahitaji viongozi wenye uthubutu, weledi na dhamira ya dhati ya kutekeleza lengo hilo. Amesema amefuatilia kauli zilizowahi kutolewa na Lissu na Heche, akidai zinafanana kwa baadhi ya vipengele, huku Lissu akikabiliwa na kesi ya uhaini wakati Heche akiendelea kuwa nje. Mchome amehoji sababu za tofauti hiyo, akirejea pia tukio la mwaka jana ambapo Heche alikamatwa Dodoma na baadaye kuachiwa. Amehoji kwa nini Lissu anaendelea kuwa ndani wakati Heche yuko nje. Aidha, Mchome ametoa wito kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA kuendelea kusimamia mwenyekiti wao na kutafuta njia za kisheria kuhakikisha Lissu anapata haki, huku akitaka pia wanachama kujiuliza kuhusu msimamo na dhamira ya viongozi wao katika kuiondoa CCM madarakani.
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻♀️❣️22,806 görüntüleme • 9 gün önce

Najiuliza maswali mengi 😂😂 nini kilimkimbiza huyu dada? 😂😂🔥🔥🔥🔥
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻♀️❣️1,148,576 görüntüleme • 1 yıl önce
1:05
Sensitive content
This media may contain sensitive content.