#gachaguaimpeachment

Chaos at Bomas as goons attack Morara Kebaso #GachaguaImpeachment
Citizen TV Kenya691,975 views • 1 year ago

Damaris Waithera: Kama kuna kitu inaniudhi na President ni kuwa, wakati alikuwa anatafuta kura, alituambia atatushughulikia sisi mama mboga na 'bottom-up' approach, lakini alikuwa anamaanisha atatuinua miguu juu ili pesa zimwagike achukue #GachaguaImpeachment
Citizen TV Kenya237,789 views • 1 year ago
