#ktnprime

Mama Kennedy: Rais alinipigia simu kupitia Dennis Itumbi na kuniuliza ni msaada gani nilihitaji. Nilimweleza kuwa mtoto wangu amechukuliwa na sijui alipo. Tangu hapo hatujawahi kuwasiliana tena. Leo ninamuomba Rais atekeleze ahadi yake na anisaidie kama alivyoniahidi. #KTNPrime #June25thNeverForget
KTN News38,074 次观看 • 2 个月前